Ikulu ifafanue: Safari za nje zilizofadhiliwa kwa kila gharama nazo marufuku?

Kuna watumishi mpaka ana retire hata kenya tu atakuwa hajafika duh. Kipindi mzee wa makontena nilikuwa nakaa Tz nusu mwaka nusu nyingine mara SA mara S.Korea mara Japan yaani full ma safari
 
Samahanini wakuu kwa ku resurrect the old thread, mimi nimeomba annual leave ya 28 days ambayo kila mtu yuko entitled kila mwaka. Familia yangu (wife na dogo) wako ughaibuni. Hii imekaaje? kuna haja ya kibali hapa?
 
Back
Top Bottom