Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Hahahahahah Ukawa Mkae Mjue Mtandaoni Sio Sehemu Ya Kupigia Kura,kura Tukutane Oct 25 Na Ndomana Kura Hazigwi Mtandaoni,nyie Mnaona Mimi Nafanya Upumbavu Wakati Nyie Ndo Wapumbavu
Kura inayokubalika ni moja tu, anayerudia maana yake hata kura ya kwanza itakuwa imeharibika!
Ina maana hadi hivi sasa Magufuli atakuwa na kura 0, kwa kuwa hizo kura zote 10 za Magufuli zimepigwa na gamba mmoja anayeitwa Tony Anthony.So far,magufuli kura 10 lowassa 40.
edward lowasa
Ina maana hadi hivi sasa Magufuli atakuwa na kura 0, kwa kuwa hizo kura zote 10 za Magufuli zimepigwa na gamba mmoja anayeitwa Tony Anthony.
Haya endelea ku vote.