Kauli ya Freeman Mbowe kufuatia kutoweka kwa Msaidizi wake, Ben Saanane

jeviounipers

Member
Jan 5, 2011
68
95
Mh. Mbowe kayasema haya leo mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu wa kanda ya Nyasa katika ukumbi wa Igimbi mkoani Mbeya.

Mwandishi: Nini kauli yako juu ya kupotea kwa msaidizi wako Ben Saanane?

Mh. Mbowe: Mambo mengine yanapokua katika masuala ya kiuchunguzi sio kila jambo litasemwa hadharani wakati wote, na tunatambua jambo hili lina hatari, linahusu maisha ya mtu, sasa sio kila wakati kusema kuyarahisha.

Unaweza ukasema kumbe kwa kusema sana unawaruhusu na watesi wake pengine waweze kumtoa roho. Kwa hiyo kuna mambo mengine ni sensitive, siyo mambo ya kuzungumza rahisi sana. Tunafanya kazi kwa njia mbalimbali kama chama cha siasa na tunakuwa waangalifu sana kuhusiana na tuseme nini kwa wakati gani na kwa taratibu gani lakini kwamba chama kinafuatilia suala hili,

Kinawasiliana na vyombo mbalimbali. Chama kina vyombo vyake vingine vya ndani ambavyo vinafanya jambo hili lichunguzwe kwa makini.

Tuko hivyo na tunawahakikishia Wote kwamba muda muafaka ukifika tutaweza kutoa taarifa za kina tumekwamia wapi na nini kifanyike cha ziada.

Mwandishi: Mbona kama mwenyekiti umekua kimya sana kuhusu jambo hili kuliko kawaida yako, kulikoni?

Mh. Mbowe: Ah, sasa inategemea, hiyo ni tafsiri, kwa sababu chama ni taasisi sio mwenyekiti

Na mimi nilikua niko safari kwa muda mrefu. Nilikua ziara ya Ulaya wakati jambo hili likiendelea kwa muda wa wiki mbili na nusu. Nimerejea tu kama siku tano zilizopita na nikaja moja kwa moja kwenye ziara jana na juzi usiku. Lakini tunamaliza sasa jukumu hili la kwenda kwenye ziara tunaporejea majumbani kwa likizo hii ya krismasi tutapata mambo ya kujadiliana zaidi.

Lakini chama kama chama Kilikuwa kinawasiliana sana na familia wakati mimi niko safari.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,094
2,000
MH. MBOWE KAYASEMA HAYA LEO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO MKUU MAALUMU WA KANDA YA NYASA KATIKA UKUMBI WA IGIMBI MKOANI MBEYA.

MWANDISHI: NINI KAULI YAKO JUU YA KUPOTEA KWA MSAIDIZI WAKO BEN SAANANE?

MH. MBOWE: MAMBO MENGINE YANAPOKUA KATIKA MASUALA YA KIUCHUNGUZI SIO KILA

JAMBO LITASEMWA HADHARANI WAKATI WOTE, NA TUNATAMBUA JAMBO HILI LINA HATARI, LINAHUSU

MAISHA YA MTU, SASA SIO KILA WAKATI KUSEMA KUYARAHISHA. UNAWEZA UKASEMA KUMBE KWA

KUSEMA SANA UNAWARUHUSU NA WATESI WAKE PENGINE WAWEZE KUMTOA ROHO. KWA HIYO KUNA MAMBO MENGINE NI SENSITIVE, SIYO MAMBO YA KUZUNGUMZA RAHISI SANA. TUNAFANYA KAZI KWA NJIA MBALIMBALI KAMA CHAMA CHA SIASA NA TUNAKUWA WAANGALIFU SANA KUHUSIANA NA TUSEME NINI KWA WAKATI GANI NA

KWA TARATIBU GANI LAKINI KWAMBA CHAMA KINAFUATILIA SUALA HILI,

KINAWASILIANA NA VYOMBO MBALIMBALI. CHAMA KINA VYOMBO VYAKE VINGINE VYA NDANI

AMBAVYO VINAFANYA JAMBO HILI LICHUNGUZWE KWA MAKINI. TUKO HIVYO NA TUNAWAHAKIKISHIA

WOTE KWAMBA MUDA MUAFAKA UKIFIKA TUTAWEZA KUTOA TAARIFA ZA KINA TUMEKWAMIA

WAPI NA NINI KIFANYIKE CHA ZIADA.MWANDISHI: MBONA KAMA MWENYEKITI UMEKUA KIMYA SANA KUHUSU JAMBO HILI KULIKO

KAWAIDA YAKO, KULIKONI?MH. MBOWE: AH, SASA INATEGEMEA, HIYO NI TAFSIRI, KWA SABABU CHAMA NI TAASISI SIO MWENYEKITI

NA MIMI NILIKUA NIKO SAFARI KWA MUDA MREFU. NILIKUA ZIARA YA ULAYA WAKATI JAMBO HILI LIKIENDELEA KWA MUDA WA WIKI MBILI NA NUSU. NIMEREJEA TU KAMA SIKU TANO ZILIZOPITA NA NIKAJA MOJA KWA MOJA KWENYE ZIARA JANA NA JUZI USIKU. LAKINI TUNAMALIZA SASA JUKUMU HILI LA KWENDA KWENYE ZIARA TUNAPOREJEA MAJUMBANI KWA LIKIZO HII YA KRISMASI TUTAPATA MAMBO YA KUJADILIANA ZAIDI. LAKINI CHAMA KAMA CHAMA

KILIKUA KINAWASILIANA SANA NA FAMILIA WAKATI MIMI NIKO SAFARI
Yaani msaidizi kapotea akiondoka kurudi kazi kama kawaida...duh
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,132
2,000
Mbowe ni kama vile amechanganyikiwa,haswa pale aliposema yeye mwenyewe kwa sasa anapata madhila mengi sana.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,946
2,000
Mimi nahisi kama vile Mbowe anajua kilichomtokea Ben...
Yaweza kuwa ni kweli ila ushahidi wa dhahiri haujapatikana kumfanya aseme hadharani.
Ninavyojua mimi hata kama Ben katendwa jambo na vyombo vya dola bado ndani yake wapo watoa taarifa kwa chama hivyo itajulikana tuu kwa uwazi
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,258
2,000
MH. MBOWE: MAMBO MENGINE YANAPOKUA KATIKA MASUALA YA KIUCHUNGUZI SIO KILA JAMBO LITASEMWA HADHARANI WAKATI WOTE, NA TUNATAMBUA JAMBO HILI LINA HATARI, LINAHUSU MAISHA YA MTU, SASA SIO KILA WAKATI KUSEMA KUYARAHISHA. UNAWEZA UKASEMA KUMBE KWA KUSEMA SANA UNAWARUHUSU NA WATESI WAKE PENGINE WAWEZE KUMTOA ROHO. KWA HIYO KUNA MAMBO MENGINE NI SENSITIVE, SIYO MAMBO YA KUZUNGUMZA RAHISI SANA.

Kwa hiyo Mbowe anafahamu kama Ben Saanane yuko hai?

Kwa hiyo Mbowe anafahamu kama Ben Saanane kama anateswa?

Haya maelezo yake ni machache lakini yanatoa ukakasi na kuonyesha kama anafahamu aliko Ben Saanane.
 
kemi2011

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
732
500
MH. MBOWE KAYASEMA HAYA LEO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO MKUU MAALUMU WA KANDA YA NYASA KATIKA UKUMBI WA IGIMBI MKOANI MBEYA.

MWANDISHI: NINI KAULI YAKO JUU YA KUPOTEA KWA MSAIDIZI WAKO BEN SAANANE?

MH. MBOWE: MAMBO MENGINE YANAPOKUA KATIKA MASUALA YA KIUCHUNGUZI SIO KILA

JAMBO LITASEMWA HADHARANI WAKATI WOTE, NA TUNATAMBUA JAMBO HILI LINA HATARI, LINAHUSU

MAISHA YA MTU, SASA SIO KILA WAKATI KUSEMA KUYARAHISHA. UNAWEZA UKASEMA KUMBE KWA

KUSEMA SANA UNAWARUHUSU NA WATESI WAKE PENGINE WAWEZE KUMTOA ROHO. KWA HIYO KUNA MAMBO MENGINE NI SENSITIVE, SIYO MAMBO YA KUZUNGUMZA RAHISI SANA. TUNAFANYA KAZI KWA NJIA MBALIMBALI KAMA CHAMA CHA SIASA NA TUNAKUWA WAANGALIFU SANA KUHUSIANA NA TUSEME NINI KWA WAKATI GANI NA

KWA TARATIBU GANI LAKINI KWAMBA CHAMA KINAFUATILIA SUALA HILI,

KINAWASILIANA NA VYOMBO MBALIMBALI. CHAMA KINA VYOMBO VYAKE VINGINE VYA NDANI

AMBAVYO VINAFANYA JAMBO HILI LICHUNGUZWE KWA MAKINI. TUKO HIVYO NA TUNAWAHAKIKISHIA

WOTE KWAMBA MUDA MUAFAKA UKIFIKA TUTAWEZA KUTOA TAARIFA ZA KINA TUMEKWAMIA

WAPI NA NINI KIFANYIKE CHA ZIADA.MWANDISHI: MBONA KAMA MWENYEKITI UMEKUA KIMYA SANA KUHUSU JAMBO HILI KULIKO

KAWAIDA YAKO, KULIKONI?MH. MBOWE: AH, SASA INATEGEMEA, HIYO NI TAFSIRI, KWA SABABU CHAMA NI TAASISI SIO MWENYEKITI

NA MIMI NILIKUA NIKO SAFARI KWA MUDA MREFU. NILIKUA ZIARA YA ULAYA WAKATI JAMBO HILI LIKIENDELEA KWA MUDA WA WIKI MBILI NA NUSU. NIMEREJEA TU KAMA SIKU TANO ZILIZOPITA NA NIKAJA MOJA KWA MOJA KWENYE ZIARA JANA NA JUZI USIKU. LAKINI TUNAMALIZA SASA JUKUMU HILI LA KWENDA KWENYE ZIARA TUNAPOREJEA MAJUMBANI KWA LIKIZO HII YA KRISMASI TUTAPATA MAMBO YA KUJADILIANA ZAIDI. LAKINI CHAMA KAMA CHAMA

KILIKUA KINAWASILIANA SANA NA FAMILIA WAKATI MIMI NIKO SAFARI
Basi huyu Mwenyekiti anajua alipo ndo maana anakuwa na kigugumizi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom