Mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA afanya mazungumzo na katibu mkuu wa CDU ya ujerumani

Always huwa hamna hoja, nyie mara nyingu hutumia manguvu yenu pasipo mbinu na mwisho wake huishia kuumia. Mkuu sio kila analolisema shehe wewe utekeleze, kumbuka shehe ni darasa la 7 kama wewe atakupoteza. CDM km chama cha siasa, zaidi cha upinzani lazima kije na strategies yakuweza kuwin politics na power za nchi.. CDM hawazuwiliwi kujihusisha na vyama vya mataifa mengine.. Km ambavyo CCM ilivyojaa waislam km wewe, CUF ilivyo na udini msitake ileta CDM huko.. CDU ni chama kilichoanzishwa under christian morals and values, ni chama kinachofata liberal democratic values. FOR YOUR ADVANTAGE: vyama vingi vya siasa vya Europe tofauti huwa ktk strategies na action (practice), theoriticaly they are same, wanashare the same philosophical foundation which is Christian philosophical values! Go on CDM.
Mkuu! Taratibu naona unatokwa na povu la mdomo bure! Ebu acha kupotosha mambo ya msingi Dunia yote inajua CDU ni kina nani.Christian Democrtatic Union, Ideology Christian Democracy Catholic social teaching, ndio CDM walichokwenda kujifunza huko Ujerumani, na CDU wanapenda kuwa na urafiki na Wakiristo wenzeo CDM
 
naona watu wameamua kupindisha ukweli kwa makusudi, kwa nini mnakataa chadema ni chama cha kikabila na kidini ??
 
Kama kambi moja kumradhi kukufananisha na kilaza Nape. Ila habari hiyo imekamilika na kujitosheleza...
Pipooooooz....

Pwipooooooozzzzz yaani cdm mnafurahisha sana Malaria Sugu nae yupo kambi moja na nyie mpe thanks na pipozzzz kwa wingi.....

Nimegundua humu jf ukijitangaza wewe ni cdm basi utakacho utapewa nitamwambia Mhe. Kamal Basha Pandu. Naibu Spika/Jimbo la Rahaleo. ajitangaze yeye ni CDM mumpe Uwenyekiti.
 
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa

mbona kuna post inasema tuache udini?acheni mambo ya ajabu
 
wewe huoni ***** lako? au umetumia ID usiyojua maana yake? LAT yAAN PANYA, KWA HIYO WW NDIYE MJANAJA, JIBU ATATUMIA LUGA GANI?
Wewe kiingereza chako wala hata sio cha kiswahili nadhani ni cha kimapinduzi aka magamba, kazi ipo wahi masjid
 
naona watu wameamua kupindisha ukweli kwa makusudi, kwa nini mnakataa chadema ni chama cha kikabila na kidini ??

Well ukiangalia orodha ya viongozi wa juu hutahitaji tochi, ni chama chenye ushawishi mkubwa kwa vijana ila wametumia mbinu ya kujieneza kupitia kanisa japo sio moja kwa moja bali kupitia mawakala wao. Kama hutaki kukumbuka mie nitakukumbusha. Kuna Askofu mmoja kabla ya uchaguzi aliwaambia waumini wake wamchague Padre Slaa na wala wasiangalie mabaya yake "kuzza na Rose Kamili" bila kumwoa na kunyanganya mke wa mtu bali waangalie utendaji wake. Hapo utasmell nini mkuu? I am not anti cdm ila sipendi uendweshaji wake ni wakibabaishi sana kama huamini muulize dr kitila mkumbo alitumia demokrasia gani kujifungia yeye na kuwachagua wanawake wa viti maalumu na kuizima demokrasia iliyopita baada ya wenyewe kujipigia kura? hichi utakiita chama cha demokrasia kweli? si ndio huku kupeana vyeo kisa mwasisi ni baba mkwe and so on!
 
Wewe kiingereza chako wala hata sio cha kiswahili nadhani ni cha kimapinduzi aka magamba, kazi ipo wahi masjid

Hahahaha atakuwa kakosea LAT maana yake ni kifupisho cha LATIFA si unaujua ule wimbo wa LAT we ndo tuuu mamiii LAT we ndo tuuu mamiiiii
 
Mabata wengine bana!!! eti kidhungu!!
na unajua ulichofanya ni name calling!!
Chadema inazidi kujidharaulisha, huyo heche (igwa), kama kiswahili tu huwa hawezi kutoa hoja za maana, je lugha watakayotumia ni lugha gani?
Jamani niambieni kwanza lugha watakayotumia mimi, nahisi kichefuchefu tu hapa.
Nadrudia tena, kiswahili tu igwa hawezi kutoa hoja wala kusimamia hoja, je hicho kidhungu je?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hahahaha atakuwa kakosea LAT maana yake ni kifupisho cha LATIFA si unaujua ule wimbo wa LAT we ndo tuuu mamiii LAT we ndo tuuu mamiiiii

naona wewe ni mpambe wa JikeDume, mnamahusiano katika Ji au Du

ha haaaa haaaaaaa
 
Mkuu! Taratibu naona unatokwa na povu la mdomo bure! Ebu acha kupotosha mambo ya msingi Dunia yote inajua CDU ni kina nani.Christian Democrtatic Union, Ideology Christian Democracy Catholic social teaching, ndio CDM walichokwenda kujifunza huko Ujerumani, na CDU wanapenda kuwa na urafiki na Wakiristo wenzeo CDM

mkuu hebu nisome vizuri hapo kwenye hiyo quote then kama hujaelewa kitu niulize, hebu ruhusu akili yako ifunguke na kufikiria mbali, achana na akili za mbayuwayu!
 
Wewe kiingereza chako wala hata sio cha kiswahili nadhani ni cha kimapinduzi aka magamba, kazi ipo wahi masjid

mkuu hawa watu wanatusumbua sana! magamba wanakazi ya ziada... nadhani hawa ni kati ya wale waliotumwa na kina nepi!
 
Mkuu sijui wakristo wamekukosea nini!!! Ila tambua kuwa western civilization ndio inatawala dunia kwa sasa na civilization hiyo ipo katika misingi ya JUDEO-CHRISTIAN CIVILIZATION COMBINED WITH GRECO-ROMAN CIVILIZATION!!! Kwahiyo upende usipende huo ndio ukweli wa mambo.Hata Arab uprising zinazoendelea katika nchi za Kiarabu zinaonyesha kuwa kuna udhaifu katika mifumo ya kiutawala inayobase kwenye Islamic Civilization (probably due to lack of freedom and so much more)
Hakuna sehemu yoyote nimeutukana Ukiristo wala Kuukashfu! Mimi nimejaribu kuuelezea misingi ya CDU chama cha Kikiristo cha Ujerumani na ushirikiano wao na CDM, kama utakuwa umechukia mimi sina cha kukusaidia sababu huwo ndio ukweli, nakushauri haya maandiko yako uliobandika hapa jamvini ungetunga kitabu kama Mpendazoe ukakiuze Vatican City utakuwa tajiri sana, ufanyie kazi huu ushauri mkuu
 
wadau leo mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa baraza la vijana la chama kinachoongoza ujerumani cha CDU, NIMETOKA KUZUNGUMZA NA BWANA HECHE kutoka BERLIN nchini ujerumani mda si mrefu, mazungumzo yalitaka zaidi mahusiano na kupeana uzoefu na mikakati ya kutengeza sera na kuziingiza kwenye ilani ya chama,habari zaidi kufuata

huna jipya?
 
wewe huoni ***** lako? au umetumia ID usiyojua maana yake? LAT yAAN PANYA, KWA HIYO WW NDIYE MJANAJA, JIBU ATATUMIA LUGA GANI?

Eeeeh! Hivi kumbe panya ni LAT? Nilikuwa sijui wadau!

Hicho ni Kizungu au Kizunguzungu? Wasomi wetu bwana! Huyo naye ukimwuliza atakwambia yuko sijui University gani!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Vichenchede vya NEPI!!

Back
Top Bottom