Watanzania baadhi Yetu hatuna moyo wa huruma Naaamini kwa MTU mwenye utu ameona na kudhamini kazi ya mh Nyalandu .Kaka yangu Nyalandu usisikilize wajinga na wapumbavu kazi uliyoifanya ni kubwa mno na ya kuiga .Mungu atakulipa kwa mema yote uliyoyafanya. Thanks. A lot brother........
Hii biashara in nzuri sana kama MTU atakuwa anaifanya serious. Kenya yupo baba ananebepesha ngombe 400kwa mwaka. Kwa nini Tanzania tunashindwa? Wenzetu wakenya wapo mbali sana .MTU mmoja anamiliki ngombe wa maziwa 200 kwa siku anakamua mpaka Lita 1500 .we have to think outside the box.
Rais magufuli amedhihirisha ule usemi wake kwamba maendeleo hayana chama. Naamini Rais magufuli Amefanyaje tathimini kubwa Sana kwa prof kitila. Naamini wizara aliyopewa ni muhimu Sana ana kwa ustawi WA taifa letu. Tunasubiria kwa hamu sana mapinduzi ya Kilimo cha umwagiliaji hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.