jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,127
- 1,635
Nilijua tu Nyalandu lazima awashiwe moto!!!!
yaani umesema ukweli mkuu. Matatizo hutokea hapa nchini ila hili la watoto liligusa watu wengi mno jamani. Tofauti na kagera ambapo vifo havikuzidi kiasi hiki. Nyalandu kafanya kazi kubwa sana tangu mwanzo. Tunahitaji kubadilika kidogo humu ndani. Sio mkisifiwa na lowasa kwamba mnafanya kazi nzuri kwenye mitandao ndo mnakurupukia kila kitu alimradi kimefanywa na mwana CCM. Ndio maana huwa sijifichi wakati mwingine kumsifu mkt wa chadema bwana MBOWE kwa Aina ya siasa za kistaarabu na unyenyekevu ambao huwa anauonesha pale anapojenga hoja.You need to know Nyalandu ni mwenyekiti wa lile shirika hapa Tanzania na hata kabla ya wazungu wale kwenda ngorongoro wakakutana na ajal walkua wametoka Singida kukagua miradi wanayofadhili na walkua na Nyalandu kW wiki nzima sasa sjui shida yako we we mwenye post ni nin? Kuona Nyalandu akiratibu hiyo support au? Tuache ujinga wakati mwingine.Fanya na we we tuone ili tujifunze kwako
Hebu tueleze ni connection gani Nyalandu kaifanya ili kusaidia hao watoto kwenda kutibiwa US?Kama ilivyo Ada y'a Wageni wanaotoka nchi Za magharibi walimalizia shughuli zao iliyowaleta hapa nchini Uwa wanatumia muda wao kutalii hao wazungu wa Samaritan pulse walipomaliza shughuli yao jimboni Kwa Nyalandu walipata muda wa kwenda kuangalia Mali Asili yetu Ndiyo siku hiyo walikuwa wanarudiarusha tayari kwa Safari ya kurudi Us tuache majungu kwenye maisha ya watu Kuweni na moyo wa huruma kWA wenzenu nyie ukoo wa wanywa mbege migombani
Hujuwi kama Nyalandu na Marekani ni chanda na Pete ?Nimekuona na nimekushangaa ukiwa busy Arusha unazengea zengea kama nzi karibu na bucha, unatafuta nini Arusha? Hivi huu msiba ni wa Taifa ama kuna masrahi ya watu hapa?
Hata kama una mashirika yako lakini kufikia hatua ya kumwambia mkuu wa mkoa eti pesa itàkayochangwa ihusike kujenga hospitali, si jambo baya lakini mbona haya sikuyaona ukiyasema kule Kagera kwenye tetemeko? Lwakatare alisimama akaomba misaada ya kisaikolojia kwa baadhi ya wahanga ila sijawahi kuisikia hata sauti yako moja. Ama kwako Tz ni hapo Arusha tu? Achia mbali kuzungumza, sikuwahi kukushuudia ukizengea kule hata kwenda kusema pole tu ila leo uko busy Arusha. Watanzania ubaguzi wetu, chuki na roho za kwanini tusipoangalia vitatupeleka pabaya, ubaguzi ni mkubwa sana. Na hawa wanaojiita viongozi wa siasa ndo wako mstari wa mbele kushadadia.
Nyarandu, siku ikitokea kwingine kama ilivyoyokea Arusha usiache kwenda kutoa msaada kwani kusaidia eneo unalotoka tu ukawaacha wengine wasiokuwa na wa kuwasaidia si sawa, unaleta tafsiri mbaya sana
Ningependa kufahamishwa"amesaidia kupatikana kwa passport,, kivipi? Kwani yeye ni waziri wa mambo ya ndani?Kwanza hiyo kazi imefanywa na wale wazungu watatu na hilo shirika ndio limewasafirisha.
Nyalandu anatajwa kusaidia tu kuishawishi serikali kutoa passport lakini kazi kubwa imefanywa na wale wazungu watatu ambao ndio waliwatoa wale watoto kutoka kwenye lile gari lililopata ajali(wreckage) na kisha kuanza mipango ya kuwahamishia US kwa matibabu zaidi.
Sio maneno yangu haya na kwa ushahidi fungua hii link hapa chini:
Iowan missionaries help to save 3 kids in Tanzania bus crash
Yeye tunaweza kumshukuru kwa kuwa kiungo tu kati ya serikali na wasamaria hawa.
Tuthibitishie kauli yakoHuku yeye bwana Nyalandu Lazaro Samuel akiwa mwenyekiti wa shirika hilo hapa nchini Tanzania..sasa tatizo liko wapi hapa??
Huu ni uongoHuku yeye bwana Nyalandu Lazaro Samuel akiwa mwenyekiti wa shirika hilo hapa nchini Tanzania..sasa tatizo liko wapi hapa??
Wahenga eti ndo walisema hivyo!Hivi ni kweli mkuu? 😱
Imekuuma tu kuwa sio Lema alopiga huo mchongo.Badala kuwa busy na wananchi wa jimbo lake, amekuja kutafuta sifa Arusha.
Vitoto vya Chadema vina wivu wa ajabu, sijui linataka nini katika Taifa iliYou need to know Nyalandu ni mwenyekiti wa lile shirika hapa Tanzania na hata kabla ya wazungu wale kwenda ngorongoro wakakutana na ajal walkua wametoka Singida kukagua miradi wanayofadhili na walkua na Nyalandu kW wiki nzima sasa sjui shida yako we we mwenye post ni nin? Kuona Nyalandu akiratibu hiyo support au? Tuache ujinga wakati mwingine.Fanya na we we tuone ili tujifunze kwako
Lengo ni watoto watibiwe, acheni kutafuta sifa za kipuuzi.Imekuuma tu kuwa sio Lema alopiga huo mchongo.
Lema yeye ni kudai mic tu na sio lolote la ziada.
Kati ya jimbo la Arusha na Singida kusini ni wapi penye maendeleo?Mwenye Jimbo kawaterekeza
Haswaa, watu waache sifa/chuki za kipuuzi. Na usinichanganye na wapuuzi kabla sijakurudi na wewe.Lengo ni watoto watibiwe, acheni kutafuta sifa za kipuuzi.
Nikujue wewe ni mvua kuwa nitakosa chakula? acha vitisho vya kizamani.Ndo maana nasema wewe ni mpuuzi.
Huwezi toa comment ya namna hii kwa mtu ambaye hata humjui.