Ridhuani Mringo: Another billionaire entrepreneur to watch!

Ridhuani Mringo: Another billionaire entrepreneur to watch!

Nini maana ya case study wakati umeleta introduction tu, tujifunze nini hapo wakati wengine ndio wanasikia hilo jina, tiririka na taarifa wayu wazifuatilie na kujifunza
 
Jazia nyama mkuu, wapi katokea, ameanza na miradi gani, elimu yake.
Watu tujue na kujifunza zaidi
Kipindi cha nyuma ,ukiwa na connection tu basi unakuwa bilionea ,mfano akina Lugulumi(?)tumeshamsahau kelele zilikuwa nyingi bungeni na sasa kimya.Miaka ya nyuma wapiga dili ndio wamekuwa mamilionea na si kwa juhudi zao bali kuna watu walikuwa wakiwashika mikono,na hao wanaosifiana hebu watuambia wasifu wao na hatua walizopitia
 
Wabongo tumekalia majungu tu, yaani hata rafiki yako wa dhati akiona umenunua gari nzuri kuliko yake atahoji umepata wapi hela au umeanza biashara ya madawa nn?

Na akigundua umeipata kihalali urafiki lazima upungue
 
Yes.. But so far his company was the best local company to carry such projects.... Many other electrical company were not capable and were defaulting on their contracts.. This turned out to be an opportunity for him.... And that is what an entrepeneure does...
Aiseee...
Sidhani kama uko aware sana na kandarasi za umeme... Kuna watu wako njema zaidi ya huyu Derm lakini mahusiano yake na Dau pale NSSF ndio yaliyomfikisha hapo...
Kuna ripoti 1 ya CAG ilitoka ikiwa na list ya makampuni yaliyonufaika na mikataba ya NSSF kimakosa,ktk list hii Derm Electrics naye alikuwa mmoja wao. Pata wasaa fuatilia mahusiano yake na Dau ujue wakoje,na kutokana na hili basi mfumo ndio ukambeba na kufika hapo alipo sasa...

Izo mnazodai ni skyscrappers,bado hazijafikia hadhi ya kuitwa hivyo,moja ya asset zake ni Mlimani Complex,kaangalie aliyepangishwa pale ni nani,na ukiweza fuatilia mkataba wa pango wa pale dhidi ya huyo mpangaji afu uje utuambie ni realistic?!!!
 
Yes.. But so far his company was the best local company to carry such projects.... Many other electrical company were not capable and were defaulting on their contracts.. This turned out to be an opportunity for him.... And that is what an entrepeneure does...
We have a lot of local contractors of their kind and are capable of doing auch projects,the relationship status with Dau is what had given him such contracts.
 
He has nothing special apart from knowing some big figures during Kikwete era.Price hiking in projects as electrical contractor for
NSSF and PPF projects
 
Usitake watu watoe nyongo na ule mradi wa NSSF mwanza jinsi alivyopiga tukianza kufunguka juu yake nazan kesho utamkuta maskini pia yeye ni kivuli tu mwenye ka kampuni ni mjomba wake anaitwa DERUA MRINGOA sasa we endelea kama hajamalizwa

C yale pale makumbusho zilipo ofisi za tigo na lile jingine linalomaliziwa. Kaka yake ndo yule aliekua diwani wa kimara alipiga mpunga kwe mradi flani wa maji anaitwa mahmood na wana mdogo wao ni lawyer anaitwa Rasquiner yupo pale pale kwe jengo la braza wake.
Mohamed Mringo ndiye aliyemdhulumu mabus Prof. Maghembe!!??
 
Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania...
This guy started from bottom few years ago but now he owns couple of skyscraper in Dar.. In the past five or six years, he has made a number of contribution that affect Tanzania as a country positively...
Apart from helping in changing the face of the city with ultramodern structures, his company Derm Electrics has done much in rural electrification as well as providing jobs.
Different from many billionaires, he is very keen of supporting local economy because he buys a lot domestically rather than importing what is available in the domestic market.
The guy is very discreet and media shy, that is why he has largely remained anonymous...
"...this guy started from bottom few years ago..."

Just few years ago and become a billionaire!, i see!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom