Recent content by jerry miner

  1. J

    Msimu mpya wa Adidas, Airforce na All star.

    Chuga nilinunua laki all stars mtumba .kama mpya vile.hizo za bongo alfu arobaini mmmmh..
  2. J

    Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Hizo sacos zenu za kujiita baba mtumishi...alafu mna act wakulima.alakini poa tu ndio fursa zenyewe
  3. J

    Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli

    acha upimbi wewe..inaana hujaona ubakaji wa democracy wewe,? mmoja wa mapopoma ni wewe.
  4. J

    Marais 8 kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mhe. John Pombe Magufuli

    unaelewa mchakato mzima wa upigaji kura,zoezi la kuhesabu na utangazaji wa matokeo ..tafadhali sana MUNGU hadanganywi usitumie kitabu kitakatifu tafadhali nakuomba .tufanganyane kivingine alakini sio kwenye masuala yanayohusu maisha ya watu. sauti ya wengi ni sauti ya MU?GU. Asante.
  5. J

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    mbowe mashine ingine ww achana nayo kabisa wewe mshahara wako unauhakika nao lumumba endeleeni kupambana na don mbowe. hamtaweza mnajisumbua na ukanda haitokufa kamwe
  6. J

    Kijijini kwetu nimekuta mabadiliko ya kimaendeleo

    hata kwetu mwenyekiti na viongozi wengine wote ni pipo. uwazi kwenye mapato ya Kijiji michango ya kijinga hakunaga raha sana mpaka Kijiji cha jirani wanajuta kuichagua fisiemu
  7. J

    Kwanini huu uwanja unaitwa Ruanda Nzovwe?

    nadhani mleta mada alikua amechanganyikiwa na hili(Rwanda) (Ruanda) kuna tofauti hapo japo kimatamshi karibia zinafanana.
  8. J

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    huyo jamaa atakua mpumbavu sana kama ni kweli atakua ametoa hiyo kauli ya kishetani. kwanza nani kamwambia polisi wote ni fisiemu?? huko ni kulewa madaraka. ajipime kama vipi.
  9. J

    Nimekutana na kiumbe cha ajabu Hifadhi ya Mikumi

    mleta mada lazima atakua ni sisiemu.
  10. J

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    kura yangu kwa lowasa hata iwe vipi
  11. J

    Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    huyu jamaa ni kichwa sana. anastahili pongezi na kuungwa mkono na wapenda mabadiliko na maendeleo
  12. J

    Mkutano wa Lowassa Geita Jimbo la Busanda, Wazee wamsimika Lowassa Uchifu wa Wasukuma

    wameshakubali yaishe... leigwanan ndani ya white house.
  13. J

    Part of Terminal-III rooftop collapses

    ten pasenti hizo. hawajali roho za watu wala,
  14. J

    Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

    sendeka kule kwake anahemea mashine . hali yake ni mbaya sana. Ole milya ndio chaguo la watu wa simanjiro. delete sendeka simanjiro
  15. J

    NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    dola ishuke thamani alafu uchumi ukue...haiingii akilini. umeme upi wanaosema kuongezeka kwa nishati?? hizo tafiti ni zile mtu anafanya akiwa kajifungia na mchepuko wake kwenye nyumba wanazofikiaga wageni
Back
Top Bottom