Msimu mpya wa Adidas, Airforce na All star.

Msimu mpya wa Adidas, Airforce na All star.

Utashindwaje kushine kwa mfano.

jichagulie adidas kulingana na mfuko wako,

Za valvet Tsh 25000

size 40-45
Leather Tsh 40000

bila kusahau Allstar na punguzo la hali ya juu hadi 21000.

Usiposhine umeamua mwenyewe.

Mkoani natuma ila gharama za utumaji ni zako mteja.

watu wa Dar home delivery ni jumamos na jumapili na unachangia 2000

serious buyer ni pm.

View attachment 335853View attachment 335854View attachment 335855View attachment 335856View attachment 335857View attachment 335858View attachment 335859View attachment 335860View attachment 335861

Hiyo picha ya nne ina namba ngapi na kiasi gani pia kwa bei bishosty...?
 
Chuga nilinunua laki all stars mtumba .kama mpya vile.hizo za bongo alfu arobaini mmmmh..
 
ok..
Mimi siwez mlaumu apologise lady coz its not fair mtu hujaulizia bidhaa wewe moja kwa moja una assume kwamba bidhaaa ni fake....thats just not right and not fair at all
naziona strategy zako mkuu....
 
Kiukweli wanunuaji sio wachangiaj sana wa mada,wao huwa wanaenda pm directly,huyu binti ni mkweli na mtu poa,anapgana na maisha,kama og n 400,000 na yeye hapa kasema 40,000 ina maana wewe hujiongezi?na wewe apologies si lazma hujibu kila comment,utakmbiza wateja ambao wako kimya ila wanakuja pm,niliwah kuweka tangazo hapa,comment zlikuwa 0,ila pm 30 na bidhaa ikaondoka
 
Uongo usipoukanusha unaweza kujengeka na kuwa ukweli. Pia wanakera kaka, serious sipendi ujinga kwenye mambo ya muhimu.
 
Attachments

  • 1460211052307.jpg
    1460211052307.jpg
    41.5 KB · Views: 46
Za valvet zote pata kwa 25,000
Black and white
White and black
Red and white
White and red
 
Back
Top Bottom