Part of Terminal-III rooftop collapses

Part of Terminal-III rooftop collapses

It can happen anywhere. This is what happened in France, Charles de Gaulle International airport May 23, 2004


9k=







images
Kuna reasoning nyingine zinaeleza kiwango cha akili ya mtu
 
kama viongozi wa fisiemu na watendaji waliopewa dhamana kusimamia ujenzi wa terminal III walikula 10%,unategemea nini.Mimi nasema yote hii ni mipango ya mungu kuelekea kuiondoa madarakani serikali ya CCM.
 
Only in bongo serikali kugharamia shs.1 billion kubomoa ghorofa lililojengwa chini ya viwango!!
 
kama viongozi wa fisiemu na watendaji waliopewa dhamana kusimamia ujenzi wa terminal III walikula 10%,unategemea nini.Mimi nasema yote hii ni mipango ya mungu kuelekea kuiondoa madarakani serikali ya CCM.

Unazijua taratibu za ujenzi? Maana sio kulaum tu nazani uwanja wa ndege wamemwajiri mshauri (consultant) kuwawakilisha sasa hapo tatizo la Uyo mshauri sio Uwanja wa ndege
 
Huyu aliyeanza kuweka hii picha hapa katuingiza cha kike... Ikimpendeza ataomba radhi

nyinyi ndio mmekurupuka. yeye kasema uinaweza kutokea popote kama ilivyotokea france akaambatanisha na picha.
 
Terminal 3, a 75,000-square-metre complex five times bigger than Terminal-2, will be served by 40 counters, equipped with 18 air bridges and designed to dock gigantic A380 Airbus planes.
Misifa kibao. Ngoja tusubiri tuone ... maana sasa hivi kwa mbali kinachoonekana ni 'trusses' kama zile zilizojengewa Mlimani City
 
Back
Top Bottom