Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Last edited by a moderator:
Wana Mbeya, kwanini uwanja huo unaitwa hilo jina na sifa zake kubwa ni zipi?
Hivi kuna kiongozi yeyote alitoka Mbeya kipindi cha kudai uhuru? Mbona Mbeya mnapenda mabadiliko zaidi hata ya Musoma kwa Nyerere?
Nawapenda sana wana Mbeya.
Tumeambukizwa na wazulu wa Africa kusini usishangae sana......mabadilikoooooo!!!!!
Fiati upo mafiati? Tukutane Mbeya Carnival baadae
ni jina la maruhani,,,,,si unajua tena uko mbeya haya mambo wameyapa kipaumbele sana