WASIOPINGA ni watoto wa magorofani ambao hawajui hata bustani inalimwaje. 80% ya waTanzania ni wakulima na ndio masikini wa kutupwa, watu miaka nenda rudi ni wakulima, mbona hawatoki?. By the way una shamba heka tano unalima matikiti na mwenzio ana kiosk, wote mkienda bank kuomba mkopo wa kuendeleza firm zenu ni nani analikelihood kubwa ya kupata huo mkopo? jijibu then tafakari twice.Bonge la pointi aisee,,ila wavivu wa kufikiri watapinga saaana.
Vipi mkuu kwani we Bank-teller..???Sawa dada, Kwenye maisha tujifunze kuutumia ulimi wetu vizuri
70% ya Watanzania ni wakulima na wafugaji ,Mbona wote hawana maisha aliyo nayo Masanja ??
Serikali yetu ilikuja na kauli mbiu yake ya kilimo kwanza ,Matokea ya hiyo kilimo kwanza ni yapi ??
Ashukuru Mungu amepata opportunity akaitumia vizuri kwa manufaa yake lakini isiwe sababu ya kuwabeza wengine ,
Ma bank teller mapovu yanawatoka.[emoji12] [emoji12] [emoji12]Masikini akishapata lazima ... ilie mbwata. Hivi Masanja wakati unazunguka na bidhaa jijini ukiwa mmachinga hayo mashamba yalikuwa yamekwisha huko kwenu Ludewa. Leo hii unabeza kazi za wateja wako waliokuweka mjini kitambo.
Kila kazi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na mzunguko wa life kiujumla, ni mpuuzi pekee awezaye kufikiri wote tunaweza kulima nyanya au auze maji na wote tuwe na maisha mazuri. Hao wanaolipwa laki 5 wote wakitoka ofisini wakauze maji au kulima vitunguu atanunua nani?
Kilimo kingekuwa simple kama unavyobwatuka unadhani nani angekuja mjini kufanya kazi ya laki 5 unayoibeza, mbona Masanja ulikuja ukakomaa hapa hadi ukatoka baada ya kuungua sana na jua. Ulishakuwa hadi HOUSEBOY wewe, leo hii teller wamuona kama hana akili au hana malengo na maisha haya.
Mmekaa tu mnaongelea kilimo kana kwamba ni rahisi saaana. Mngejua watu wanaozewa na mazao mashambani huku kwa kukosa masoko. True vipo vinavyolimwa vinalipa haraka lakini havistawi nchi nzima na kwingineko gharama za kuvilima si ndogo.
Masanja hukutoka kwa sababu una akili kuliko vijana wanaosota,huo ni mzunguko wa maisha tu na bahati iliyochagizwa na kipawa. Ulijituma ndio lakini haimaanishi wasiotoka hawajitumi. Chunga kauli zako bro.
Jibu swali we kiroboto, Acha kuleta Porojo.Mkuu kwani na wewe ukawa?
Povuu lazma litutokee ngoja siku akidakwa ndo atasimulia kilimo kwanza vzuriMa bank teller mapovu yanawatoka.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hawa wanavunja sheria za Nchi au? Mbona kuna watu wanalipwa kidogo kuliko hata hawa Ma-bank teller mnaowakebehi?Ma bank teller mapovu yanawatoka.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Najua hapa zinazogombana ni Avatar picture[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jibu swali we kiroboto, Acha kuleta Porojo.
Nyie acheni kusema kulima kulima cjui ukitoa oak mbili ukalima mananas baada ya muda flan utapata milion 2...achen kabisa kutudanganya ukulima ni Kazi hauez kulima apo apo ukafanikiwa..msijitie kutupa ushaur Wa kijasiriamali akat masoko hakuna..
Tatizo na ninyi mabank-teller mnajishauaga sana utafikiri zile pesa ni zenu.....alafu nasikia siku hizi mmepigwa pini kweli,,mmewekewa viwango maalumu vya kukopa si kama ilivyokuwa zamani..Povuu lazma litutokee ngoja siku akidakwa ndo atasimulia kilimo kwanza vzuri
wakulima wanaolima kienyeji ndio masikiniHivi kuna watu maskini nchi hii kama wakulima?
Bank teller.....kumbe hata wale mapolice wanaowalinda wanawazidi mshahara[emoji12] .,.naanza kupata picha kuna jamaa angu alipiga chini uteller akaenda depo sasa hivi ni Inspector Wa police.Hawa wanavunja sheria za Nchi au? Mbona kuna watu wanalipwa kidogo kuliko hata hawa Ma-bank teller mnaowakebehi?
Na bado wanasavaivu mjini?
Sawa ila topic at hand ni kilimo vs mafanikio ya masanja,awafundishe kwanza wenzie wa orijino komediTatizo na ninyi mabank-teller mnajishauaga sana utafikiri zile pesa ni zenu.....alafu nasikia siku hizi mmepigwa pini kweli,,mmewekewa viwango maalumu vya kukopa si kama ilivyokuwa zamani..
Mnajifariji...wabongo bwana. laki tano ni mfano na benki teller pia ni mfano!!
We utakua teller tu imekutachMashauzi tu...
Alicho kifanya Masanja ni kutumia chuki iliyopo kwa hawa jamaa kuhalalisha mawazo yake na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa ,Vipi mkuu kwani we Bank-teller..???
Kwahiyo TANZANIA haiitaji tena ma-bank teller kwa sababu MASANJA kasema wanalipwa laki tano?Bank teller.....kumbe hata wale mapolice wanaowalinda wanawazidi mshahara[emoji12] .,.naanza kupata picha kuna jamaa angu alipiga chini uteller akaenda depo sasa hivi ni Inspector Wa police.