Recent content by jerry hudson

  1. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha production

    Waungwana embu niambie chuo gani bora kwa kufundisha production ya Tv na radio. Nipo Dar. Msaada wenu jaman
  2. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi ndoa na janeth1

    Dah...mie bado niponipo
  3. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    Picha yake plz
  4. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Kitu kinachosadikikia kuwa ni bomu la kurushwa na mkono kimelipuka katika moja ya bar maarufu mjini arusha.arusha night park (------ bar) ina semekana wamekufa wa2 ila bado aijasibitishwa na majeruhi wengin..limelipuka.mida ya saa 4:30 kwa mujibu wa aliyenipa taarifa mudaa huu
  5. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Tanx mkubwa nashukuru kwa msaada wako
  6. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Telexfree

    mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge
  7. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Telexfree

    https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=... Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao
  8. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Telexfree

    Poa mwana nimekupata ntafungua hiyo link nisome fresg
  9. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Telexfree

    Kumbe telexfree imewaliza watu.. Heh...walikua matapeli Mwenye kulijua hili kwa KINA anijuze hapa.
  10. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nina mil 3 nataka kuizalusha kupitia biashara ila sijajua nifanye biashara gani? Naombeni ushauri .
  11. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Pornograph(picha za ngono)

    Mbna sioni picha na videoz
  12. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya vitz

    Siku mletea yeye acha tabia za kiswahil wewe
  13. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya vitz

    Kwani huku WaPo wa nunuzi wa vitz tu?.....kama si mfanya biashara pandisha mlege pita hiviiiii...... Acha kupiga kelele hapa bizzness biasha za serikal 2 nenda jukwaa la katiba ka bonge rasah Huko joh:mad:
  14. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje ikikukuta hii?

    We ulitegemea kuserereka ukskuta mshkaji grease ajaweka ukabuma... Nd roho isingekuuma kama ukutegemea kulipiwa....acha kutuchora eroo
  15. jerry hudson

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje ikikukuta hii?

    We VIP now dayz KILA mtu na budget zake....usishangae
Back
Top Bottom