Gari aina ya vitz

Gari aina ya vitz

Mtu anatafuta Vitz wewe unamtangazi Range, kwa mwendo huu muundo wa serikali mbili utaendelea.

Kwani huku WaPo wa nunuzi wa vitz tu?.....kama si mfanya biashara pandisha mlege pita hiviiiii......
Acha kupiga kelele hapa bizzness biasha za serikal 2 nenda jukwaa la katiba ka bonge rasah Huko joh😡
 
angalia hizi sample kisha utaona bei yake ya kuagizia suala linakuja huku bandari ya kwetu ktka kulitoa bandarini
aina yake ni suzuki kei (2005) inatokea Japan
Registration Year / Month 2005/0
Mileage 50,550 km
Displacement 660 cc
Steering CBA-HN22S
Automatic
Fuel Petrol

suzuki kei lote.jpg suzuki kei nyuma.jpg


suzuki kei ndani mbele.jpg suzuki kei engine.jpg

OFFER YAKO NI NGAPI?

ukiniagizia suzuki kei ya 2005 4WD,utanifanyia bei gani?niko serikalini tgs d,zingatia exemption ya import duty
 
angalia hizi sample kisha utaona bei yake ya kuagizia suala linakuja huku bandari ya kwetu ktka kulitoa bandarini
aina yake ni suzuki kei (2005) inatokea Japan
Registration Year / Month 2005/0
Mileage 50,550 km
Displacement 660 cc
Steering CBA-HN22S
Automatic
Fuel Petrol

View attachment 150377 View attachment 150378


View attachment 150379 View attachment 150380

OFFER YAKO NI NGAPI?

Hiyo gari inauzwa sh ngapi? Tafadhali tujibu ili tujipange kama tunaweza tuwasiliane
 
Nahitaji gari aina ya toyota passo sette alionayo ani pm tuongee biashara
 
Back
Top Bottom