Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

ndoa tamu siku ya ndoa tu,baada ya hapo ni majuto ngumi manyanyaso na upweke. Ndoa ni bhalaa
 
Nimekuja mdogo wangu, na hamu ya ugali wa badaaaa, yaani siku ya kwanza tu wifi akija atusongee ugali wa bada na UONO, si ndiyo kaka Mwanyasi?

ewaa uwono muhimu sana, lazima atuandalie tule kabla nyumbani hotel haijatuhusu
 
Last edited by a moderator:
ndoa tamu siku ya ndoa tu,baada ya hapo ni majuto ngumi manyanyaso na upweke. Ndoa ni bhalaa

karbu bwana mtumwa, chukua sahani ya pilau ule ushibe na uchague kinywewa.
ombea mema maharusi
 
Mkwe wangu wa thamani,
mkwe twende kukaja.
Ha ha ha ha haaaaa!
Nani kakuambia hiii.....!!!!!!!
Tunahitaji wosia wako mzazi.

Hongera sana mie bado natafuta mume
Ahsanteeeeeee....
wataka mme tena humu kwenye harusi?
Mimi ndo nimeshaoa hivo wala sioi mwingine janeth1 anatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaaaa!
Nani kakuambia hiii.....!!!!!!!
Tunahitaji wosia wako mzazi.


Ahsanteeeeeee....
wataka mme tena humu kwenye harusi?
Mimi ndo nimeshaoa hivo wala sioi mwingine janeth1 anatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Wala sikutaki wewe ntampata nimpendaye na anaenipenda kwa dhati harusi njema
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom