jerry hudson
Member
- Feb 23, 2014
- 32
- 3
Nimesoma majibu yenu wote nashukuruni sana ila ukweli tuliishi vizuri na sio kwamba Nilikua nategea ili nilipiwe hiyo nauli ...kuna vitu vingine bhana huwa vina muafect mtu kisaikolojia kweli iliniuma maana kila mtu aligeuka kutuangalia aliposema KATA mmoja.....
We ulitegemea kuserereka ukskuta mshkaji grease ajaweka ukabuma... Nd roho isingekuuma kama ukutegemea kulipiwa....acha kutuchora eroo