kimsingi kibonde simkubali, anaendekeza mambo ya kitoto sio mtu wa kufikiri kwa kina, ni m2 wakuangalia hapa na si kule, alikuwa anaponda sana upinzani, ye anadhan upinzani una jitetea wenyewe, unatetea taifa lote bila kubagua, iwemo yeye na kizazi chao wote bila kubagua...