Star times na usumbufu/utapeli wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star times na usumbufu/utapeli wao

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by terabojo, Aug 13, 2010.

 1. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana jf mtakuwa ama mumeona au hata kununua vingamuzi (decoder) na antena za kampuni ya star times ambayo ni mshiriki wa tbc katika mambo ya tv. Jirani yangu alinunua decoder hiyo kwa shs. 79,000.= na akaelekezwa namna ya kufunga na kuanza kutumia/kupata picha. Kifupi ilimchukua siku 9 (baada ya kutemebelea duka lao mara 4 pale msimbazi road karibu na polisi station) ndipo alipoanza kuona picha. Kifupi wale pale wanakuuzia na nadhani hawapeleki taarifa huko tbc mwenge ambako naambiwa ndo hasa wana "activate" decoder ile. Swali: Kwa nini wanakuwa wazembe kiasi hicho. Kwa nini wanamuibia mteja kwa kutomuwezesha kuona tv kwa siku 9? Kibaya zaidi ukipiga nmaba za customer care hakuna hata moja inayopokelewa na unapojaribu kuongeza airtime pia simu zao hazifanyi kazi. Jamani wachina na tbc ya mheshimiwa sana wa wizara ya habari...
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mchina huyoooooooo
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  asilaumiwe mchina bali customer service mbovu za wabongo
   
 4. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa namimi nimesumbuana nao sana, customer care ni zero.
  ukiwa na tatizo ni vizuri uende pale kwao makao makuu uwakabe makoo hapohapo ndiyo utafanikiwa, rasivyo kupiga simu unapoteza muda
   
 5. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Mwanzoni walianza vibaya, lakini TBC wametambua tatizo hilo, wamefanya mabadiliko. Asilimia 90 ya wale customer care wakorofi wameondolewa. Hali ni shwari sasa. Mimi ni mteja wa StarTimes, ila kuna tatizo moja ambalo nataka kulifuatilia... kwenye hizo channels zao wanaweka lile tangazo lao MARA MBILI, tena kati kati ya kipindi! Wanaboa! Lakini kimsingi, content zao ni nzuri. Jaribuni sana kuangalia Discovery World, mtajifunza mambo mengi mazuri!
   
 6. N

  NGAUTI Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Kwa ambao wameshatumia hii huduma ya startimes kwa muda sasa,
  naomba msaada wenu.
  je kuna channels ngapi na ni zipi?
  ubora wake ukoje, maana nilisikia kuwa kuna kipindi matangazo yalikuwa yanakatika katika sana.
  na hii kampuni mpya ya TING wanapatikana katika mkoa wa Mwanza?
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Wakuu Star time ni nzuri sana bado sijaona tatizo mpaka sasa zipo channel nzuri eg MGM,E channel,BBC,Aljazeera,Kuna channel za Kenya,kuna channel ya wanyama nadhani ni kifaransa pia kuna channel ya Kiindi na nk.

  Wapenzi wa mpira Startime wamefulia hakuna kitu kabisa sijui mbele ya safari wataifanyia kazi !.
   
 8. TRACE

  TRACE Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Habari zenu wana jamvi!!

  Unaweza kupata ITV,EATV,EMMANUEL TV NK. kupitia StarTimes ila Channel za TBC1 and TBC2 na other 10Channels zitatoka ila waweza kuzirudishia na zile package zijazo na ITV kuwa overwritten.Nilifurahia sana hilo kupitia StarTimes,yeyote aweza kufanya bila msaada wa StarTimes Technical personel.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kumbe inawezekana..........lakini huu si utakuwa ni wizi.
   
 10. TRACE

  TRACE Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mbona kwenye usumbufu haujasema kitu? Anyway,wenyewe wame enable bila kutangazia watu wao ndio wameiba na watu ni watafiti wamgundua na wanatumia matunda ya ugunduzi wao.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaaaah du eti ugunduzi..........nimekubali.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  Mkarabishea jamaa huyo TZ......uzembe is our middle name..................................
   
 13. TRACE

  TRACE Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ni kweli ugunduzi mtu wangu na watu wanaangalia bila shida.Tumwage hapa setup zake ukajatribu home kama unayo Decoder ya StarTimes??
   
 14. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ndo tulivyo wabongo, kila kitu tunasingizia mchina. Si ajabu hapo baadae ukamsikia mzazi akilalamika kuwa mtoto wake jeuri na hasikii ukimkanya sababu ni wakichina.
  Customer cares wa taasisi/kampuni nyingi ni wazembe katika suala zima la utendaji kazi, wameomba kazi lakini hawako makini na kazi zao.

  Tuwekee hizo setup procedure nasi tukafaidi
   
 15. j

  jensen Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tbc walikuja kwa kasi na hata kutishia amani kw baadh ya vituo vya kurushia matangazo, ila walipo anguka wameanguka mazima hakuna vipindi vizuri tena hususani sisi wapenda soccer, hata atn wameifunika kwa champions league......bila kusahau vijana wao wanaendekeza sana kampeni zisizo namsingi...wanaboa sana
   
 16. TRACE

  TRACE Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 91
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Setup ni kuwa
  1.Click Menu button kisha down arrow key mpaka kwenye Item ya nne itakupatia Two Options,Manual and Automatic
  2.Click right arrow key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye Manual options.
  3.Click OK kisha bonyeza 530 kisha Click OK.
  4.Ita search na kuonyesha 12channels found.
  5.Exit mpaka kwenye Menu kisha ITV,EATV zitaonekana
  6.Ukiona ITV na EATV havina sauti bonyenya Track button chini ya Power button kwenye Remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
  &.Waambie na wengine.

  Nakutakia kila la heri
   
 17. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  bora trace umenipa mwanga , nataka ninunue hiyo decoder very soon , ila wengine wananambia haishiki vzr inasumbua ndio wananikatisha tamaa hao
   
 18. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Toka niminunua haijanisumbua na wala sijasumbuka na Cust cae... may be waongezee channel za maan na si utumbo wa macelebrity...!!
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kama wabongo mmeshagundua kuchakachua kupata tb joshua basi nitakwenda kununua na me kwani nilitaka kununua dish kwa ajili hyo
   
 20. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Duh! Uligunduaje? Nimepata ITV na EATV bila matatizo, na zimeongezeka nyingine kama vile DW TV Africa!

  Safi sana! Endelea kutuelimisha!

  Nadhani sasa wakiongeza channels nyingine kimya kimya zitaingia tu. Kumbe hawakutaka tujue hizi? Safi! ITV inaonekana vizuriiiiii!
   
Loading...