Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

Matokeo ya Bagamoyo au ya Urais nchi nzima?Atakuwa rais wa wakwere ila sio sisi wengine. Najua mnafurahia umasikini wenu huo na hamna cha kupoteza, so go to hell with your ccm. Soon or later you will know what is the source of all evils that happened in Kenya,Rwanda,Burundi and other places.
 
Amani Kwanza

CCM
user-online.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Wed Nov 2010 Posts 8 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
 
Matokeo ya Bagamoyo au ya Urais nchi nzima?Atakuwa rais wa wakwere ila sio sisi wengine. Najua mnafurahia umasikini wenu huo na hamna cha kupoteza, so go to hell with your ccm. Soon or later you will know what is the source of all evils that happened in Kenya,Rwanda,Burundi and other places.

Ni Rais wa wote na kodi utakatwa kwenye mshahara au biashara yako na kupelekwa kwake kwa ajili ya utendaji wa serikali. Usijidanganye ya Rwanda , Kenya , Burundi nk hayatatokea Tanzania. Mmeshindwa kuweni wapole , jipangeni hamkuwa na jipya safari hii ndio maana wengi wa watanzania hawakuwachagua.
 
Kuna baadhi ya wakwere waliipigia CHADEMA kura, so ondoa ukabila katika hili
 
CCM amani kwako.... na umenifurahisha sana wewe kama CCM kusaini kwa jina hilo, it shows how low you have gone, from the mighty Nyerere days to a shipwreck master mkwere and his family and allies
 
Ni Rais wa wote na kodi utakatwa kwenye mshahara au biashara yako na kupelekwa kwake kwa ajili ya utendaji wa serikali. Usijidanganye ya Rwanda , Kenya , Burundi nk hayatatokea Tanzania. Mmeshindwa kuweni wapole , jipangeni hamkuwa na jipya safari hii ndio maana wengi wa watanzania hawakuwachagua.

hapo kwenye red, but yet makamba, mwinyi, jk mwenyewe maana nyumba yake iko morocco-regency, kinana, usalama wa taifa, vigogo wote wa ccm na serikali waishio osterbay, masaki, mikocheni, msasani, makumbusho/kijitonyama, mbezi beach, kunduchi, tegeta wameichagua chadema (Mdee) iwawakilishe Bungeni
 
CCM amani kwako.... na umenifurahisha sana wewe kama CCM kusaini kwa jina hilo, it shows how low you have gone, from the mighty Nyerere days to a shipwreck master mkwere and his family and allies

So ulitaka nisaini kwa jina gani. How is someone goes low by supporting CCM? Your dream was CHADEMA or CUF to score 100%! Not possible in any democratic setting. Mgefurahi tu na hako kaushindi kadogo mlikopata na mkatulia kupanga mikakati ya kutukabili tena 2015 mkitambua kuwa hatujalala bado.
 
so wewe ni makamba, mkweer au kinana? maana CCM ni chama na sio mtu, au wewe ndio chiligati? msemaji?
 
WANATAKA WAKAMALIZIE ZILE ZILE DILI ZA VITAMBULISHO, NA KUUZA KIGAMBONI KWA BUSH, KWAHIYO WANATAKA WAUZE KILA KITU KUBAKIE NA UMASKINI PEKEE, NYERERE ALIKUWA ANA ANGALIA MBALI SANA NA HATA KUMPITISHA MKAPA BADALA YA KIKWETE, ALIJUA HANA UWEZO WA KUENDESHA HII NCHI, SASA NA ANZA KUONA ALICHOKUWA ANA MAANISHA BABA WA TAIFA:sad:
 
so wewe ni makamba, mkweer au kinana? maana CCM ni chama na sio mtu, au wewe ndio chiligati? msemaji?

herufi za mwanzo za majina yangu matatu ni CCM, dhambi iko wapi? unaweza kuendelea kuchakachua ili kung'amua majina halisi. Mmeanza kutafiti nani huyu anajiita CCM badala ya kuangalia huyu mtu anasema nini hapa! Mnapenda kupindisha mada ilimradi tu mpoteze umma. Matokeo ndio hayo yanakamilishwa na hakuna hata sehemu moja ambapo uchaguzi wa rais ulirukwa ukiacha kasoro fulani katika maeneo ya wabunge na madiwani. Jumlisheni hizo kura ili mhakikishe kuwa huyo anayetajwa ndiye mshindi.
 
Ni Rais wa wote na kodi utakatwa kwenye mshahara au biashara yako na kupelekwa kwake kwa ajili ya utendaji wa serikali. Usijidanganye ya Rwanda , Kenya , Burundi nk hayatatokea Tanzania. Mmeshindwa kuweni wapole , jipangeni hamkuwa na jipya safari hii ndio maana wengi wa watanzania hawakuwachagua.

dawa zako za ukichaa hukumaliza?? rudi milembe..
 
So ulitaka nisaini kwa jina gani. How is someone goes low by supporting CCM? Your dream was CHADEMA or CUF to score 100%! Not possible in any democratic setting. Mgefurahi tu na hako kaushindi kadogo mlikopata na mkatulia kupanga mikakati ya kutukabili tena 2015 mkitambua kuwa hatujalala bado.

sure, hamjalala na mnategemea kuiba kura tena sio?? subirini moto tuu, simaanishi wa ahera (kama imani yako inasema ivo), namaanisha hapa hapa bongo...mtaiba kura, tutawachapa, mtajirudishia, tutaanza kuchapana, tutachapana mpaka tuone mwisho wake....dalili ona arusha na mwanza..mngelazimisha kule matokeo yatangazwe otherwise muone..sasa soon tutakuwa na mwanza na arusha nchi nzima..afu tuone kama mtaongea haya mavi yenu mnayoyanukisha hapa..
 
Back
Top Bottom