Elections 2010 CHADEMA - Cost benefit analysis

Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?[/QUOT
Kwenye politics labda ungesema cost analysis lakini wewe umedumbukiza na neno benefit(faida), kwa Chadema faida hakuna, maana watawaambia hao waliwapa kuwa look tumeambulia tuviti 22 tu tumepata hasara, lkn wapo wa wafanyabiashara wengi tu waloichangia CCM watalipwaje? itabidi tusiwatoze kodi, itabidi tupandishe bei bidhaa za biashara zao kama mafuta ya petroli, sukari, unga, mchele, nauli. je nani ataumia?
 
Cost benefi analysis inafanywa wakati unatakakufanya new intervention na sio umeshafanya. nenda shule kwanza. Na walichofanya CHADEMA walianagalia kama wakimuweka Slaa agombee urais there is high chance that 1. Atashinda 2 Ataongeza upinzani bungen and eventually serve a lot of tanzanian money ambazo zinaliwa na mafisadi through crap contract kama za madini. Sasa walivyofanya hivyo then wakaamua kuchukua hiyo intervetion. Looking to that wameongeza wabunge wengi ndio tena vichwa kama Lissu mnyoka na wengineo. So hawakufanya makosa kuopt for that intervention. Mi naona wako right. tatizo ni wewe mwenye mawazo mgando.
 
We unataka costing au nunataka cost benefit!? Mi nashangaa sana watu mnakurupuka tu. yani jamvi sasa hive lina mambo!!!???
 
jamani timu ya propaganda ya CCM wameshanunua huu mtandao, jaribu kusoma kwa makini posts za tangu jana usiku na umri wa members wanaoponda chadema. zile posts critical zinakuwa moved au hazitokei
 
Hiyo dhuluma na umaskini mliotufikisha huoni unauliza data za CHADEMA ILI IWEJE inaonekana wewe ni mmoja wao. Ndg yangu usifikiri watu ni wajinga siku zote, huu ni wakati wa kujua ukweli. DATA: Campain Manager meli zake ziko Malasia na pembe zetu za ndovu, huyo ni msimamizi wa campain za mgombea! Upo hapo, watu tuna machungu saana. Tukianza kukupa data tutakesha, lakini hutakubali maana mmezoea kusema ni uwongo mpaka muonyeshwe makaratasi, Isue zote zinarudi bungeni kwa taarifa yako. Utasema tena. Wizi ni dhambi ya kukupeleka motoni, kama hujui. Hatutaki kizazi cha weziiii! TUMECHOKA BASI!

Kuwa mpoleeeee km maji ya mtungini, lete data acha porojoooooooooooooooo !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cost benefi analysis inafanywa wakati unatakakufanya new intervention na sio umeshafanya. nenda shule kwanza. Na walichofanya CHADEMA walianagalia kama wakimuweka Slaa agombee urais there is high chance that 1. Atashinda 2 Ataongeza upinzani bungen and eventually serve a lot of tanzanian money ambazo zinaliwa na mafisadi through crap contract kama za madini. Sasa walivyofanya hivyo then wakaamua kuchukua hiyo intervetion. Looking to that wameongeza wabunge wengi ndio tena vichwa kama Lissu mnyoka na wengineo. So hawakufanya makosa kuopt for that intervention. Mi naona wako right. tatizo ni wewe mwenye mawazo mgando.

Mlicho tegemea sio mlicho kipata, urais kwa kutumia helikopter tena hamkuupata, mmebwagwa kwa 80% mpaka sasa, and then wabunge angalau one third (80) mliyokuwa mwategemea hamkuipata , mmepata 25 tu ambayo ni ndogo sana. kwa hiyo twaweza sema mmepata HASARAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?

Trash! Idiot!

Kwanza wewe unajua maana ya Cost-Benefit analysis! au umekariri na kutafsiri kwa mtindo wa chakachua?

1. Unapoongelea dhana ya Cost-Benefit analysis inajuimuisha tangible and intangible variables.

2. Kwa mfano: idadi ya wabunge walioshinda ni tangible benefit lakini muamko ambao CHADEMA imeleta mwaka huu ni intagible benefit ambayo inaweza kuwa na value kubwa kuliko hata wabunge 50 kwasababu hiyo chachu inaweza ikawa na matokeo makubwa sana hapo baadae.

3. Nina hakika, baada ya mchakato huu kupita, Chadema wanaweza wakatoa costs za uchaguzi lakini kutoa benefits itakuwa ngumu sana na hata wakizitoa basi inatakiwa ifanyike very rigorous political-economy analysis.

4. CCM wametoa ripoti yao ya costs benefits analysis? katika hiyo ripoti yao wamejumlisha negative variable ya kuporomoka kwa umaarufu wa Chama Chao baada ya huu uchaguzi? Nafikiri CCM ndio ina costs nyingi kulinganisha na benefits (kwa mtazamo mpana wa Cost-Benefit analysis)

5. Kwa taarifa yako, nakuibia siri ya ndani...Tangu jumatatu TAR 01/11/2010, idadi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema inaogopesha, na hiyo ni Tangible benefit ambayo thamani yake inaweza kuwa zaidi ya wabunge 100 kwasababu hao wanachama ndio watatujengea misingi imara ya CHADEMA.

6. Kikubwa ninachotaka kukwambia, Cost-benefit analysis is beyond financial statements, na kwa sisi CHADEMA kinachotufariji ni impact ambayo uchaguzi huu imeweka kupitia nguvu ya uma. The benefits we have acrued in this election are far bigger than the recorded costs
which in a way were far smaller and negligible in comparison to our counterpart's CCM.

7. Na nyie mnaodai mlikuwa mawakala, faida ipi mnayotaka muelezwe wakati mnajua fika ni kwa namna gani chama kilitikisa kwenye uchaguzi huu, nataka niwambie safari ya mabadiliko ni ndefu na ngumu, msitegemee kubadilisha vitu overnight, tushikamane na tuendelee na mapambano, I hope 2015 mtatusaidia tena kwenye uwakala.

PEOPLE'S...................PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?[/QUOT
Kwenye politics labda ungesema cost analysis lakini wewe umedumbukiza na neno benefit(faida), kwa Chadema faida hakuna, maana watawaambia hao waliwapa kuwa look tumeambulia tuviti 22 tu tumepata hasara, lkn wapo wa wafanyabiashara wengi tu waloichangia CCM watalipwaje? itabidi tusiwatoze kodi, itabidi tupandishe bei bidhaa za biashara zao kama mafuta ya petroli, sukari, unga, mchele, nauli. je nani ataumia?

Yaaaaaah, wana hasara kwa hiyo chama kivunjwe hakina tija kwa wanachama wake wameshindwa kufanya kinacho takiwa.
 
Hujajibu swali, lete data ili tuone ulipokuwa walala macho kulinda kura na ulicho kipata vina wiana ? au HASARA MMEPATA NDIO MAANA MWAFICHA? CCM wao wameisha toa kuwa wana faida, CHADEMA je ?

Wewe na Ferds ni mapacha??? Joined same day (Yesterday)
 
GeniusBrain
If you can write what you have written above in proper English we will provide you with the CBA.
 
VURUGU 15.JPG
 
Naona ungetumia busara kama ungeweka wazi gharama walizotumia CCM ndo uombe za CHADEMA.
ONYO: Usiweke gharama zilizochakachuliwa. maana hata JK amechakachua ndo maana anajiita Dr
 
Trash! Idiot!

Kwanza wewe unajua maana ya Cost-Benefit analysis! au umekariri na kutafsiri kwa mtindo wa chakachua?

1. Unapoongelea dhana ya Cost-Benefit analysis inajuimuisha tangible and intangible variables.

2. Kwa mfano: idadi ya wabunge walioshinda ni tangible benefit lakini muamko ambao CHADEMA imeleta mwaka huu ni intagible benefit ambayo inaweza kuwa na value kubwa kuliko hata wabunge 50 kwasababu hiyo chachu inaweza ikawa na matokeo makubwa sana hapo baadae.

3. Nina hakika, baada ya mchakato huu kupita, Chadema wanaweza wakatoa costs za uchaguzi lakini kutoa benefits itakuwa ngumu sana na hata wakizitoa basi inatakiwa ifanyike very rigorous political-economy analysis.

4. CCM wametoa ripoti yao ya costs benefits analysis? katika hiyo ripoti yao wamejumlisha negative variable ya kuporomoka kwa umaarufu wa Chama Chao baada ya huu uchaguzi? Nafikiri CCM ndio ina costs nyingi kulinganisha na benefits (kwa mtazamo mpana wa Cost-Benefit analysis)

5. Kwa taarifa yako, nakuibia siri ya ndani...Tangu jumatatu TAR 01/11/2010, idadi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema inaogopesha, na hiyo ni Tangible benefit ambayo thamani yake inaweza kuwa zaidi ya wabunge 100 kwasababu hao wanachama ndio watatujengea misingi imara ya CHADEMA.

6. Kikubwa ninachotaka kukwambia, Cost-benefit analysis is beyond financial statements, na kwa sisi CHADEMA kinachotufariji ni impact ambayo uchaguzi huu imeweka kupitia nguvu ya uma. The benefits we have acrued in this election are far bigger than the recorded costs
which in a way were far smaller and negligible in comparison to our counterpart's CCM.

7. Na nyie mnaodai mlikuwa mawakala, faida ipi mnayotaka muelezwe wakati mnajua fika ni kwa namna gani chama kilitikisa kwenye uchaguzi huu, nataka niwambie safari ya mabadiliko ni ndefu na ngumu, msitegemee kubadilisha vitu overnight, tushikamane na tuendelee na mapambano, I hope 2015 mtatusaidia tena kwenye uwakala.

PEOPLE'S...................PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

Baada ya maelezo hayo yote , ina maana mmekubali kushindwa na mnajipanga kwa 2015 ni jambo zuri na acheni porojo sasa, chapeni kazi kwa nguvu na maarifa, na waambie na wenzako sasa ujumbe huu.
 
Mlicho tegemea sio mlicho kipata, urais kwa kutumia helikopter tena hamkuupata, mmebwagwa kwa 80% mpaka sasa, and then wabunge angalau one third (80) mliyokuwa mwategemea hamkuipata , mmepata 25 tu ambayo ni ndogo sana. kwa hiyo twaweza sema mmepata HASARAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Kuwa mpoleeeee km maji ya mtungini, lete data acha porojoooooooooooooooo !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Someni post yangu hapo juu mtaelewa. Nasikitika kuwa CCM inawatuma vilaza kuja kuchakachua hili jukwaa, sasa ile dhana ya home of great thinkers inaanza kupotea kwasababu ya mambwiga kama nyinyi.....mmekosa wachumba facebook ndio mmeamua kuja kuchafua hewa huku. AISEEH! HILI JUKWAA SIO LA WATOTO, embu rudini Facebook au kwa issamichuzi! hapa siyo size yenu.
 
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
Sure?
Definitely CHADEMA accountant will prepare a receipt and payment account for you while preparing the Y&E statement for submission to the RP.
 
hawa mbwa wanauliza uliza kisa wameona helicoptar, nenda ukamuulize dada yako ile mimba yake imemgharim kiasi gani
 
Baada ya maelezo hayo yote , ina maana mmekubali kushindwa na mnajipanga kwa 2015 ni jambo zuri na acheni porojo sasa, chapeni kazi kwa nguvu na maarifa, na waambie na wenzako sasa ujumbe huu.

Kumbe na-argue na mtoto eenh!

1. Wapi kwenye bandiko langu nimekubali kushindwa?

2. Hivi vita ni continuous kwa hiyo hata msingetuibia kura bado tungeendelea na hili vuguvugu la mabadiliko.

3. Hivi CCM na CHADEMA kina nani wanatakiwa waache porojo, embu toa boriti ya jichoni mwako kabla hujaonyesha kibanzi cha mwenzio.

4. Tuchape kazi kwa nguvu na maarifa, mmh! nafikiri huo ushauri unapaswa kuwapa CCM na siyo CHADEMA.
 
Back
Top Bottom