Recent content by Jeni

  1. Jeni

    JamiiForums Tanzania Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

    Kaka Yangu PM ukienda usisahaua na vielelezo vya uraia wako
  2. Jeni

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu akamatwa kwa kuihujumu TANESCO

    Hahahaaaa nakile kisauti chake kipindi cha campaign hapa kazi tu.... Walifikiri kazi hiyo cjui kwa NANI Wallah
  3. Jeni

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Tafuta The Harper's Island ni Thriller sio Horror percee
  4. Jeni

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke, awe ametosheka na ngono na watoto!

    Kwa swala la watoto ila kwa ngono labda ana kisukari
  5. Jeni

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    Mie hadi nime-zoom nikajua macho yananidanganya......
  6. Jeni

    JamiiForums Tanzania T-shirt pouwa za kiafrika

    Very Creative will contact you
  7. Jeni

    JamiiForums Tanzania Moto waunguza mitambo ya Vodacom, wadhibitiwa!

    Vodacom Switch ilikuwa inawaka moto inaungua Kwale Street
  8. Jeni

    JamiiForums Tanzania Natafuta mama wakunilea

    Mama yako kachoka kukulea????
  9. Jeni

    JamiiForums Tanzania Natafuta mama wakunilea

    Yaani umemjibu sawiia nitadhamini pambano, maana JF siku hizi hakuna jipya. Natamani mods wangewatafutia sehemu yao
  10. Jeni

    JamiiForums Tanzania Barrick wasimamisha mgodi.

    Wewe ndio umelala watu wa-telecom wanasainisha petition (i.e Tigo, Airtel na Voda) ya kukataa huu upuuzi
  11. Jeni

    JamiiForums Tanzania Nassari: Sina nia ya kugawa nchi

    Nassari ametereza au ameteleza kwa wenye kujua lugha hilo halina ubishi tusipende kutokoselewa. Hakujua impact ya maneno yake na changamoto iliyopo kwa sasa katika siasa na kwa hilo yule anayeona kichaka tu basi haja imempata au kama ni pumu imepata mpumuaji
  12. Jeni

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Hahahahaaaa yaani wewe hahahaha duh
  13. Jeni

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Na JMakamba kamuuliza anamhamasishaje ampe kura ya yeye kwenye Arusha instead kusaidia vijana ktk swala hilo
  14. Jeni

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Yaani hayo ndio maswali ya kuulizwa candidates
  15. Jeni

    JamiiForums Tanzania Blog ya IssaMichuzi haikupatia Uzito Msiba wa Shujaa REGIA MTEMA

    Ni kweli NN alitakaje ili aone. Wakati mwingine tusipende sononeka kama mtoto aliyepokonywa peremende. Kama hakuandika ni kivyake, jamani huu msiba si wa mmoja ni wetu sote ile kama fulani katika msiba yeye alifata pombe akitegemea ni pombe mwache anywe. Si wote watalia kama unavyolia wewe. Kila...
Back
Top Bottom