Tatizo lenu mabinti wa Tanga na maeneo mengi ya Pwani hata kule mombasa wavivu. Wanadhani mapenzi ndo kila kitu kumbe ndoa ni zaidi ya mapenzi. Sasa kama mimi mfugaji huwezi hata kukamua ng'ombe upate maziwa ya chai we wa kazi gani. Mnajali kucha kuliko usimamizi wa miradi. Pia mabinti wa Pwani...
Akiwa ikulu asije ruka ukute kuwahi kwa miguu. Ila lengo lake nadhani ilikuwa kuonesha yuko vizuri sana kiafya. Hajui hilo la itifaki hadi atakaposhinda.
Nadhani kuna watu hawajaelewa hoja. Tovuti ya ikulu inatakiwa Mambo ya ikulu tu hasa shughuli za Rais. Ndo hoja ya mtoa hoja na ndivyo inavyotakiwa. Sasa ukisema inamhusu nini au kwamba Rais ni mwana ccm kwahiyo ni sawa kuweka habari za chama ni kukusa uelewa. Je kama wewe ni mkurugenzi wa ofisi...
Mmmh wewe kumbe ulikuwa unafanya siasa kazini. Kumbe we ndo unatoa siri za serikali kwa wanasiasa. Kwahiyo unajiomba radhi mwenyewe sasa? Hivi ukitafakari nani unaweza kumshawishi kwa hoja za kitoto hivi. Think out of the bottle of politics. Si kila mtu anawaza siasa kazini ni wewe na wachache.
Watu mnaujasiri ayse yaani Kweli unaomba ushauri kwamba usichangie hata kodi kwa nyumba unayoishi na mchumba wako? Kwani ulidhani huyo ni mfadhili wako? Ukilipiwa Na wanaume wengine upo tayari kulala sebuleni aliyelipa agegede? Hebu lipa kodi Uje Na mrejesho hapa usitudhalilishe wanaume !
Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta aliyesomea horticulture teknology mwenye kujua kupanga project ajitokeze. Tukielewana nampa ajira ya...
Kama watu wazima wameshawishika kuanza safari all the way kutoka bagamoyo kwa mabasi hadi Dodoma basi wanaweza kufanya hivyo hata siku ya uchaguzi. Na kama hao wanaoratibu wamefanikiwa kwa kiasi hicho kuwashawishi makundi mbalimbali katika jamii basi wanaweza kufanikiwa hats kushawishi wengi...
Kwani kuwa sheik bagamoyo lazima utumikie bakwata? Kwanza bakwata au taasisi nyingine rasmi ya dini hatutaki wajihusishe na siasa. Kwahiyo walioenda kivyao hawajakosea ni haki yao na ndivyo inavyotakiwa. Maana hawajaenda kwa kofia ya dini bali as individuals. Suala kama waliratibiwa hilo sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.