Dah kashfa nzito kwa kanisa katoliki
Kwahiyo CCM ni wezi kwa sababu kuna mawaziri wake ni wezi? Kumbe nawe CCM ni jizi as well. Pole mwizi!!
Mbona picha inaonyesha anafunga zipu na wasionyeshe picha za anakula mzigo live yupo juu ya kifua? Au ndo ule usemi wetu " ukishaona manyoya ujue kashaliwa".
Sasa hapo kanisa limechafuka au padre amechafuka?
Kwa.hyo namimi nikifumaniwa kanisa linachafuka?? unadhan hulo mbinguni dhambi za mmoja zinaunganishwa na.wengne?? kila.mtu anavuna anachopanda
Hiyo ni kashfa ya padre.... sio ya kanisa katoliki
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?
Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??
Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametika nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.
Ni hayo tu kw a leo.
Kwani Padre anamhudumia nani ? Akifanya maovu kubali anachafua kanisa zima na si yeye peke yake.
Hata kanisa la catholic lilianzia huko Rome na kutawanyika kabla Yesu ndo maana mafundisho yao hayaendani na ya Yesu au Kibiblia, waache umalaya mapadre sio huyo tu asilimia kubwa malaya na wengine wamekufa na ukimwi je wanaupataje ? Padre kachafua katoliki aibu usitetee