Aliyenitoroka amerudi na mimba

Aliyenitoroka amerudi na mimba

Msamehe kama unaweza,ila kwa kosa hilo hata angekuwa mkeo wa ndoa unaruhusiwa kumuacha kidini.Maana usijifanye unamsamehe halafu kila mkigombana kidogo unakuwa wimbo ni huohuo
 
Huyo hafai, achana nae kabisa hapo katoswa kule na mwenye mimba si aponee wapi? ni kwao so kama huna akili utamkalinisha, lete mwanamke au nunua mchepuko, njoo nae home halafu mwambie amechelewa, ila usilihusu ugomvi
NB; fanya hivyo kama hukufunga ndoa nae, mpaka uwe mwanaume make mi nahis we si mwanaume, mwanaume huwez kuleta upuz kama huo, nilitengemea utaleta uzi kuwa alikuja ukamtimua, saiv et ushauli ukute nyapu umeshaipiga.
 
Jitambue mkuu kivip unataka kulea mimba ya mwanaume mwenzio ,utachekwaaaaa.
 
He! Yani ukamuamini so easily hadi mkaenda na kupima!

Hushauriki...
 
Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Mwache abebe mizigo yake. Kwa nini ujitwishe mizigo isiyokuhusu? Tafuta binti ambaye hajapewa mimba ufunge naye ndoa umuweke ndani. Huyo tayari keshakujwa 'reject'... Pole kwa maswahibu.
 
Kwa hiyo umekubali kuwa hakuzoa vitu vyote? Na mimba juu.

Haujajifunza bado huko alikoenda mwanaume kamtimua na kabla hajatoroka kama walivyopanga alikua nae tayari.

Pole yako ukimkubali atakumaliza akipata chance.
 
Msamehe kama unaweza,ila kwa kosa hilo hata angekuwa mkeo wa ndoa unaruhusiwa kumuacha kidini.Maana usijifanye unamsamehe halafu kila mkigombana kidogo unakuwa wimbo ni huohuo

Kumsamee ntamsamehe lakini siwezi rudiana nae.
 
Kamuombee kibarua pale kona bar atajikimu kimaisha
 
Kuna watu humu duniani ni wajinga kabisa. Halafu unasema nimpe talaka kwani ni mkeo huyo hebu acheninstori za kwenye kahawa humu
 
wajinga ndio waliwaooo unataka ushauri gani sasa.....
 
Hafai na uckubali kulea mimba ambayo si yako brother
 
Unaomba ushauri au unaniuliza mimi ningefanyaje?
kama ni mimi kwa jinsi ninavyojitambua hata asingethubutu kurudi/kuonana na mimi.
 
Msikilize yeye anavyotaka kama ni kumsamehe msamehe ulee mimba akijifungua mruhusu ampe mtoto jina yeye.
 
Back
Top Bottom