Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

Wanawake wa kipindi hiki watapata shida sana... watalea watoto na baba zao lol!!!
 
nasikiaga tu mijitu ikiongea ooooooh wanawake mnaitumia miili yenu vibaya mnajirahisisha mnajipeleka tu kupika maharage badilikeni ........sasa na wewe dume zima ukajirahisha kisa mtelemko leo umekuja na kodi baadae utakuja na unapigishwa pushapu bila kupumzika.....
 
Watu mnaujasiri ayse yaani Kweli unaomba ushauri kwamba usichangie hata kodi kwa nyumba unayoishi na mchumba wako? Kwani ulidhani huyo ni mfadhili wako? Ukilipiwa Na wanaume wengine upo tayari kulala sebuleni aliyelipa agegede? Hebu lipa kodi Uje Na mrejesho hapa usitudhalilishe wanaume !
 
Da blaza mbona walalama hivi ??? kwani tulikuwepo kwenye makubaliano yenu ??? Wewe bwana malizana nae au muitie police hahahahahahahahahahahahahahahah this life is so sweeeeeeeeet daaaaaaaaaaa ......:juggle:
 
Mm sikua nimepanga kuanzisha familia, na nilimueleza tangu mwanzo kuwa tukae kila mtu kivyake akalazimisha kwamba anajiweza

Ukakubali kuolewa! Mpaka naona aibu kwa uliyo andika, kiumri wewe ni rika la kutegemewa na siyo kutegemea. Umetuaibisha sana, umetudhalilisha sana hasa sisi wanaume wa rika lako acha uvivu haraka sana rudi nyumbani kwako na usimame kama mwanaume, jamii imekupa heshima hiyo na inakutarajia ufanye. Haraka sana......
 
Mambo kama haya ndo huwa yananifanya nisifikirie kuja kuishi kwa mwanamke wala kujenga nyumba kwa kushirikiana na mwanamke..,Damn!

Brother na ww umezidi kubweteka hata aibu huoni, kwanza unatuzalilisha wanaume...Rudi ulikopanga na ukome kuishi kwa mwanamke jitahidi malizia mjengo wako uhepukane na matatizo!
 
32 yrs man!! Kukua akil ni bora zaid kuliko kongezeka mwili, jambo hili nalo la kuleta jukwaani!
 
papuchi Burr,msos Bure,usingizi Bure,busy Burr nk,unashindwa laki mbili tu? ona aibu kidogo bana Wa mkoani watafikiri we we ni mwanaume Wa dar es salaam wataanza kuleta kashfa
 
Jiandae kulipia ada za watoto wako wa kufikia acha kulalamika.
 
Back
Top Bottom