Recent content by Jef Kirhiku

  1. J

    JamiiForums Tanzania TCU na vyuo vikuu wapeni fursa wanafunzi ambao hawajaridhika na kozi walizochaguliwa kukataa ofa na kuomba tena katika awamu ya pili.

    Kama mwanafunzi amechaguliwa katika kozi fulani chuo kikuu na hajaridhika na hiyo kozi au hicho chuo kwa nini asiruhusiwe kukataa hiyo ofa halafu ajaribu kuomba tena vyuo vingine ili afikie malengo yake? Kwa nini alazimishwe kukubali kozi hiyo hiyo tuu hata kama hajaridhika na muda wa kuomba na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Butiku na Nyerere Foundation yake wako wapi?

    Wakati huo ukiwasikia wakiunguruma na wale wengine wa waraka utadhani ni wazalendo kweli kweli wanaipenda nchi .Kumbe ni wanafiki wa kiwango cha Olympic ,wanakosoa kwa hila na chuki .Sasa wanafiki tumeshawajua hawatusumbui .
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tafakuri miaka 41 ya CCM

    Heri ya siku ya kuzaliwa CCM . Leo chama cha mapinduzi kimetimiza miaka 41 tangu kuasisiwa kwake. Ni umri mkubwa ambao vijana wengi tunaoishi sasa tulizaliwa tukakikuta chama hiki. Moja ya nguvu kubwa ya chama hiki ni muundo wake unaotambaa kila mahali katika nchi hii na kwenda mpaka ngazi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr Salmin Day tarehe 20/04/2017 Usikose .

    Tarehe 20/04/2017 ni siku Maalum ya Shule ya Secondary Dr Salmin Amour -Singida (Salmini Day ). Siku hii inalenga kuwakutanisha wadau mbalimbali wenye nasaba na Shule ya Dr Salmini-Singida kwa lengo la kuunganisha nguvu ili kusaidia ukarabati wa shule yetu pamoja na kuimarisha taaluma ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wa Singida ,wajasiriamali wadogo wanahitaji kusaidiwa sio kufungiwa .

    Mkoa wa Singida ni miongoni mwa mikoa yenye ng'ombe wengi hapa nchini . Kwa hiyo yanapatikana ,maziwa ,nyama na hata ngozi kutokana na wanyama hao . Wako wafugaji wanaojaribu kuyaongeza thamani maziwa ya Ng'ombe kabla ya kuyauza kwa kuyagandisha na kuyafungasha kisha kuyauza Kwenye maeneo yao ...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kiongozi bora aliyeandamwa na kukosolewa kwa hila na chuki

    Jakaya kikwete alikuwa kiongozi wa nchi yetu aliyejitahidi sana kutoa uongozi bora unaozingatia sheria za nchi na kuleta maendeleo katika nchi yetu . Alijitahidi sana kuboresha hali za maisha ya watu kwa kuongeza kipato na kutengeneza mazingira mazuri ya biashara . Aliongeza stahiki kwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi hakuna Sauti na Nyaraka za makanisa?

    Yale matamko kwa hakika yalikuwa yamejaa hila na chuki . Hayakujali maslahi ya nchi yalitanguliza mbele zaidi maslahi ya dini na madhehebu yao . Leo wanaumbuka wanajisikia aibu hali ilivyozidi kuwa mbaya wasijue la kufanya .
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi hakuna Sauti na Nyaraka za makanisa?

    Nchi imenyooka sasa hivi na maisha ya wananchi yamekuwa mazuri?Tehetehetehe .
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya stika au udhibiti wa ubora na usalama wa magari yanayotembea barabarani ?

    Kama hawana uwezo hizo stika kubandikwa kwenye magari na kuwapiga fine ambao hawana kuna maana gani ?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya stika au udhibiti wa ubora na usalama wa magari yanayotembea barabarani ?

    Hi ndio Tanzania stika za usalama barabarani zinauza na unaweza kuzipata hata bila gari kukaguliwa . Ambao hawakununua mwanzo sasa wanakamatwa na kupigwa fine kisha kuuziwa stika bila gari kukaguliwa . Dhana ya usalama wa magari yaliyopo barabarani inatoweka na kugeuka kuwa ya kuuza stika na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mawazi hawa wanaaminika Tena ?Wanatosha kubaki katika nafasi zao ?

    Wakati wa Sakata la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote yupo kijana alijitokeza kueleza urasimu na usumbufu wa kupata makaa ya mawe yanayochimbwa na TANCOAL na kueleza namna inavyokwaza uzalishaji wa kiwanda na shughuli zao za kuyasafirisha kupeleka kiwandani . Wapo mawaziri walijitokeza na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2020 upinzani undeni chama kimoja Nguvu moja mnaweza kuidhoofisha CCM .

    Upinzani hasa chadema ,cuf ,ACT wazalendo na NCCR undeni chama kimoja mpate muda wa kutosha kukinadi na kukijenga kuelekea 2020 . Hii itawasaidia kupata coverage nzuri kote nchini na kuongeza nguvu dhidi ya ccm kuliko mkiendelea kutoaminiana na kila mmoja kung'ang'ana na maslahi ya chama chake...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atembelea viwanda vya Bakhressa, ashangaa wanaoagiza hadi nywele nje

    Amemaliza kiwanda cha ngano sasa ameanza kutembelea kilipo kiwanda cha juice na ice cream pale Vingunguti .
  14. J

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Kwamba uhamiaji mpaka leo hawajui manji sio mwajiri katika kampuni za Quality group na sio mkurugenzi ? Walikuwa wapi wakati taarifa ilitolewa kwa umma ?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Mtu unaitwa kwa ajili ya mahojiano juu ya Dawa za kulevya .Kabla hujaenda kuitikia wito kujua kama unatuhumiwa kuuza ,kutumia au kuna taarifa za mtu au watu zinahitajika kutoka kwako unakimbilia kuanza kutoa matamko ya kukanusha kujihusisha na biashara ya Dawa za kulevya. Hii ni Dalili Tosha...
Back
Top Bottom