Kuna kitu kinaitwa uungwana; wanacho ila sometimes wanajisahau hadi uungwana unapitiliza angalau kwa ambao tayari wametuongoza. Hatutaki extremism; tunataka moderate - kiongozi mkali kwa watenda maovu na wala rushwa ila na yeye asiwe aliwahi kutuhumiwa. Kiongozi anayeheshimu Katiba na sheria za nchi na sio ukali au upole uliopitiliza ili kuficha udhaifu. Ni hilo tu basi.Nimegundua viongozi wa kiislamu wana hofu ya Mungu kuliko hawa wagalatia
Hahaha............hawa wazee sijui wamepatwa na nini, hawasikiki kabisa awamu hii, au labda hawaoni tatizo lolote la kulisemea.Butiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.
Huwa wanawaalikaga wale maprofesa waliochoka ku-present vi-paper vyao visivyo na nyuma wala mbele kila mwaka wakati wa kigoda. Teh! Yaani ni vi-paper fulani ambavyo havina msaada wowote kwa taifa iwe kijamii, kisiasa, kiuchumi, yaani vipo vipo tu; havina ufumbuzi wala wazo lolote mbadala.Wamebakiza kigoda cha Mwalimu tu
Butiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.
Uko sahihi kwa asilimia mia moja.Nimegundua viongozi wa kiislamu wana hofu ya Mungu kuliko hawa wagalatia
Nadhani kwa saasa Butiku ameamua kukiuza kama sio kukivunja kigoda cha mwalimu jumla jumla.teheth! Kigoda cha mwalimu je?
Hivi hakuna Padre mwenye guts, amnyime kukomunika?Uko sahihi kwa asilimia mia moja.
Yaani jamaa anatesa na kuua watu bila woga wala aibu na jumapili yupo kanisani anapokea ekaristi bila noma.