Jef Kirhiku
Member
- Dec 10, 2016
- 39
- 76
Upinzani hasa chadema ,cuf ,ACT wazalendo na NCCR undeni chama kimoja mpate muda wa kutosha kukinadi na kukijenga kuelekea 2020 .
Hii itawasaidia kupata coverage nzuri kote nchini na kuongeza nguvu dhidi ya ccm kuliko mkiendelea kutoaminiana na kila mmoja kung'ang'ana na maslahi ya chama chake .
Vyama kungana ni jambo lenye changamoto nyingi ambazo hazitatuliki kirahisi .
Katika mazingira ambayo watu wanafokewa ,wanadhalilishwa ,kiburi dharau na majivuno vimetawala.Uhuru na haki za watu zinapuuzwa .
chochote kinaweza kutokea 2020 .