Rais Museveni leo ametembelea kiwanda cha Bakhressa kilichopo Buguruni, amesema wanaoleta bidhaa kutoka nje wananyonya damu kwa kugeuza nchi zao kuwa masoko na amedai Uganda aina ya watu hao ni wengi.
Wanaingiza, makapeti, viti na nywele za mabibi kutoka China ilhali yeye anafikiri nywele za kiafrika zinatosha. Amesema Azam wanahifadhi damu na kuongezea, ameongeza nchi za Kiafrika ni tajiri sana. Amesema inaonekana Bakhresa inamsaidia kuhifadhi damu na wao wanazalisha mahindi na watazalisha zaidi.
Amemkarisha Uganda na kwa kuwa pia anajihusisha na matunda basi anamkaribisha zaidi na wao wataongeza uzalishaji zaidi.