Dr Salmin Day tarehe 20/04/2017 Usikose .

Jef Kirhiku

Member
Dec 10, 2016
39
76
Tarehe 20/04/2017 ni siku Maalum ya Shule ya Secondary Dr Salmin Amour -Singida (Salmini Day ).
Siku hii inalenga kuwakutanisha wadau mbalimbali wenye nasaba na Shule ya Dr Salmini-Singida kwa lengo la kuunganisha nguvu ili kusaidia ukarabati wa shule yetu pamoja na kuimarisha taaluma ya shule .
Wote mliopo Singida na Maeneo mbalimbali hapa nchini mnaombwa kuhudhuria bila kukosa siku hiyo .
Kila mmoja wetu ajipange kuchangia fedha taslim au vifaa vya ujenzi kadri ya uwezo wake hata kwa mfuko mmoja wa Cement .
Wote wenye nasaba na Shule ya Dr Salmin tumeshiriki kuichakaza kwa kutumia miundombinu mbalimbali ya shule husika na sasa ni wakati Tushiriki kuikarabati .
Unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia account namba 50810019339 yenye jina DR SALMIN AMOUR SELF-RELIANCE kama hutoweza kufika .
Kwa mawasiliano zaidi piga 0769734881 .
 
Back
Top Bottom