Hii ni biashara ya stika au udhibiti wa ubora na usalama wa magari yanayotembea barabarani ?

Jef Kirhiku

Member
Dec 10, 2016
39
76
Hi ndio Tanzania stika za usalama barabarani zinauza na unaweza kuzipata hata bila gari kukaguliwa .
Ambao hawakununua mwanzo sasa wanakamatwa na kupigwa fine kisha kuuziwa stika bila gari kukaguliwa .
Dhana ya usalama wa magari yaliyopo barabarani inatoweka na kugeuka kuwa ya kuuza stika na kuwapiga fine wale ambao hawakununua baada ya kipindi fulani .

Turejee kwenye dhana ya kuhakikisha magari yote yanayotembea barabarani ni mazima na salama kuliko hili la kuuza stika na kupiga fine kwa ambao hawajanunua.
Hii haitusaidii kuhakikisha usalama barabarani .
 
Mkuu unadhani kiuhalisia hilo jeshi linauwezo wa kukagua magari yote nchini kwa kipindi cha wiki moja?
 
Kama hawana uwezo hizo stika kubandikwa kwenye magari na kuwapiga fine ambao hawana kuna maana gani ?
 
Back
Top Bottom