Kwa sababu sasa ndilo linaloongoza Nchi, na ndio maana jamaa wakibanwa wanaenda kulilia chachi.Ukweli utawapeni uhuru. Kwa nini wapo kimya sasa?
I am a Catholic but not Roman, better a Tanzanian Catholic.Ukweli utawapeni uhuru. Kwa nini wapo kimya sasa?
Punguza kukurupuka mkuu..
Swali ni kwamba yale matamko na barua za kichungaji awamu hii zimekwenda wapi?
Wako wapi akina Kijo Bisimba na Anelilya Nkya? Yale matamko na kelele zao zimepotelea wapi?
Maaskofu walikuwa kila mara wakitoa barua za kichungaji kuulaumu na kuonesha raisi aliepo madarakani hafai. Leo wamekuwa kimya kama vile mambo yapo shwari kabisa. Kama si unafiki na udini ni nini?
Wakati wa Nyerere hawakuwahi kuandika hizo barua zao za kichungaji.
Kaja Mwinyi kaandikiwa barua 15 za kumkosoa. Alipokuja Mkapa akapita kimya. Maaskofu wakasahau kalamu zao. Alipoingia Kikwete kaandikiwa barua 14 za kukosoa. Kaja JPM kalamu zimesahaulika. Hapo unapata picha gani?
Kwa mtazamo wako,maaskofu wakitoa tamko kumkosoa magufuli watakuwa wamechanganya dini na siasa. Lakini kwa Mwinyi na Jk ilikuwa sawa kufanya hivyo!!!!
Hivi huwa mnamuabudu mungu yupi!?