Recent content by Jayll7

  1. Jayll7

    Msaada wa kazi wana Jamii Forums

    May God be with you son. Stay strong.
  2. Jayll7

    Kwa Mahitaji ya hostel ya kisasa kwa wanafunzi

    Ungeweka na contact bas aaah
  3. Jayll7

    Nauza Dangote Cement nipo Dar es salaam

    Its my money, so its my choice.
  4. Jayll7

    Nauza Dangote Cement nipo Dar es salaam

    Je nikiamua kukufata Mimi mwenyewe hapo pia kutakua na bei yake auco, Me naona ni afadhari uweke wazi bei zako kabsa kuliko kutaka kusumbua watu.
  5. Jayll7

    Msaada

    Ukiona unakosa majibu basi jiongeze, nenda eBay kaangalie trend ya price ya hiyo bidhaa then utakua umepata jibu unalohitaji ndugu.
  6. Jayll7

    Tapeli la Iringa limekuja haribu biashara za mitandaoni

    Hello guys, Tafadhari kuweni makini Sana, kuna jamaa hua ana post bidhaa za Electronics kama Laptops na Mobile phone's za aina tofauti tofauti na kutangaza kuziuza kwa bei chee. Anasema yupo hua anapokea mzgo kutoka kwa Shemeji yake ambae yuko Iringa ndio maana anauza kwa bei chee hzo bidhaa...
  7. Jayll7

    Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

    Lowassa rais wa wa A.R. I suggest ajengewe ikulu yake Arusha kwenye mifugo yake. Samahan lakn.
  8. Jayll7

    Tamko la DARUSO kuhusu mikopo

    Udsm chuo cha intellectual na mambulula pia. Kila kitu tunajua sisi, aya nendeni mkaandamane sasa kama nyie mnajielewa.
  9. Jayll7

    TAMKO: Rais JPM Kasema

    Ha ha ha, Magufuli anawangoja waandamane wakione..
  10. Jayll7

    TAMKO: Rais JPM Kasema

    Jaman yale maandamano vp tena
  11. Jayll7

    Upinzani hauna tija kwa watanzania

    Yani hiyo yote inamaanisha kuwa, mipango bila akili bado ni sifuri2. Watanzania hawataki utawala wa hisia, tunataka utawala bora na makini. Ndio maana ukawa (Ukiwa) wanahaja ya kujipanga upya kwaajiri ya uchaguzi wa mwaka 2025. Samahan lakn
  12. Jayll7

    VHS to CD or DvD Player...

    Hello guys.. Naomba kuuliza, Katika technology ya kileo kuna uwezekano wowote wa kubadirisha video zilizo katika mfumo wa VHS (yaan ile mikanda ya kizamani) kwenda katka mfumo wa CD au DvD...?
  13. Jayll7

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Ha ha ha, Hapo umesemea kuuzwa kwa uanachama Chadema, Japokua kuna ukweli ndani yake lakn kuna vibofu watakuja kukutukana kwann unasema ukweli sana. Daah...
Back
Top Bottom