fortuneless
Member
- Jun 8, 2016
- 95
- 49
Nianze Kutoa Pongezi kwa Ndugu Maxence Mello kwa Kuanzisha Mtandao huu miaka 10 iliyopita amethubutu na ameweza japo huu mtandao unachangamoto and it is believed that ni Wa wasomi tuu it is true JamiiForums kweli ni mahali pazuri watu wa kila aina wanakutana hapa hata wale walioko nje huitumia sana kuondoa upweke Source my close friend Living abroad.
Wakuu nirudi kwenye Mada, nimekua sina kazi Tangu nilipohitimu Shahada ya kwanza ya Uhasibu na Fedha (BAF) Mwaka 2014. Nina Umri wa miaka 26. Nilipomaliza Chuo Maisha yamekua Magumu sana kwani sina hata sehemu ya Kujishikiza kwa Muda, nimetuma maombi sana hata katika kampuni ndogo lakini non of them replied mpaka najiuliza nimekosa nini kwa Mungu.
Nimefanya Interview Mbalimbali hasa Sekretariet ya Ajira na Kufanikiwa kuingia Oral moja ambayo naona Kanzi data imesha expire tayari, Inashangaza hata Pale kwenye mradi wa Flyovers TAZARA nimeenda Kutafuta Kibarua nimeshindwa yaani mpaka umjue mtu hii hali ndo imekua ikinikwamisha sana.
Nimepambana kuingia JKT taangu Mwaka Jana What I saw ni Ngumu sana kwa mtu usiye na ndugu kuingia hasa kwa mtu aliyemaliza Degree giving assumption watu wote wa kwenye panel wanakua na watu wao. Hivyo nimeishia kwenye hatua ya Oral Interview ya wilaya ambayo tuliingia kwa makundi ya watu Ishirini Ishirini (ambao mnajua interview mtakua mnashangaa) ndiyo Kundi la watu ishirini ishirini kama interview hapo ndipo moyo wangu ulizizima swali ambalo tuliulizwa kwenye kundi letu ni nini maana ya Uzalendo mengine ni Mwanajeshi ni nani yule muulizaji anapoint kwa kutaja Jina la mtu so nikatoka hapo nimejibu swali la uzalendo tuu but inside my heart nikawa tayari nimeshitushwa na aina ya usaili Ule. Usiku majira ya saa nne na Nusu matokeo yakatoka rasmi nikawa sijapita.
Kuna siku nikafanya research nikagundua Uzoaji wa Taka majumbani will be perfect for me, hata nikusanye pesa nisome CPA kwa sababu ada yake ni 110,000 kwa Somo nianze hata na masomo mawili au matatu. Nilithubutu nikaingia Kazini. I did 3 weeks maeneo ya Kawe ndipo mama mmoja akaniuliza we kijana mbona haujakaa kufanya kazi hizi ndipo nikamsimulia yote yanayonisibu yule mama alinisihi niache ile kazi kwani huwa siyo nzuri ninaweza kuharibikiwa akili based on what she said nilifanya kwa wiki moja zaidi nikaiacha.
Naishi katika Maisha Magumu sana, anxiety imekua ikiupunguza mwili wangu Mpaka najuta kwanini nilisoma nimekonda sana na huwa nafikiria Suicide attempt naweza kupumzika milele lakini hapana naendelea kupambana.
Nilizaliwa peke yangu My mother turned 53 year old now fighting with Cancer na ndo aliyekua akinipigania kusoma Kuanzia Darasa la Kwanza, Secondari, Sekondari ya Juu na Chuo baba naye left us when i was 9 year old zamani sana what i remember alikua akiuza Kahawa na Chai Jioni and he died aged 44. Thanks to Loan Board walioweza kunisomesha elimu ya Chuo. but sasa ninakibarua kigumu cha kumsaidia mama ambaye sasa hawezi kufanya kazi tena due to her battle with Cancer.
Wana Jamii Forums najua kuna HR, CEO, DIRECTORS, PRESIDENTS wa kampuni mbalimbali please naombeni msaada wenu mimi sichagui Kazi nafanya kazi yoyote given nina Uelewa wa Kutumia Kompyuta, Ujuzi wangu ni wa Field tuu lakini nimejifunza vingi kutoka kwenye Video Tutorial kwenye Youtube naweza kufanya kazi ya Uhasibu kwa Ufanisi. Nipo radh hata mtu akiamua kunifundisha kazi hasa katika Auditing, Accounting, na Finance kwa sababu nimesoma ila sija practise Naombeni sana wakuu.