Tamko la DARUSO kuhusu mikopo

Tamko la DARUSO kuhusu mikopo

subir tamko la HESLB tu

. Hasubiri HESELB kivipi mkuu wakati hao wa heselb ndo uwa wanabana mammbo ya wanafunzi kupata mkopo....Yalitokea mwaka 2013....wanafunzi wengi walikosa mkopo....likaundwa kundi la vijana kama 700 kufatilia suala hilo....haikuwa kazi raisi....ila mwisho wakabaki watu kama 30....nguvu yao ikawawezesha vijanabtakribani 1007 kupata mkopo.....tafuta mtu mwenye namba hii awape njia walizopitia mpaka wakapata mkopo na wapo chuo wanakula kitabu.0712177649
 
Ni masaa takribani mengi sasa yamepita tangu kutolewa kwa tamko na serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam wakinukuu maelezo waliyopewa na Bodi ya mikopo kuwa ndani ya masaa 48 toka mda walipopokea maelezo hayo majina ya wanafunzi ambao walikuwa wamekosa mikopo yatakuwa out. Je yamebaki masaa mangapi kukamilisha idadi ya masaa 48?

Tamko za bangi tu hizo
 
. Hasubiri HESELB kivipi mkuu wakati hao wa heselb ndo uwa wanabana mammbo ya wanafunzi kupata mkopo....Yalitokea mwaka 2013....wanafunzi wengi walikosa mkopo....likaundwa kundi la vijana kama 700 kufatilia suala hilo....haikuwa kazi raisi....ila mwisho wakabaki watu kama 30....nguvu yao ikawawezesha vijanabtakribani 1007 kupata mkopo.....tafuta mtu mwenye namba hii awape njia walizopitia mpaka wakapata mkopo na wapo chuo wanakula kitabu.0712177649

Mkuu nimekulewa .
Hapo juu nilikua namaana hao madogo wanaopenda kusubiri matamko waendelee tu.

Tatizo hawa madogo badala waungane waende kwa pamoja HESLB wao wanasubiri Tamko eti.

Bodi bila kuwachachafya Hawatoagi fedha
 
watatoa majina heslb ila Si ndan ya 48 saa may be wiki ya tar 9
 
Hazina ya serikari kuna million 2...nyingine zimeenda kwa wasanii kipind cha kampeni....

Hapa kaz tu
 
Jamani katika swala hili la mikopo vipi kuhusu wanafunzi wasiokua na wazazi halaf wakakosa mkopo kuna kipaumbele gani juu yao?
 
Udsm chuo cha intellectual na mambulula pia. Kila kitu tunajua sisi, aya nendeni mkaandamane sasa kama nyie mnajielewa.
 
Jamani katika swala hili la mikopo vipi kuhusu wanafunzi wasiokua na wazazi halaf wakakosa mkopo kuna kipaumbele gani juu yao?

Course uliyochagua pia ina determine pocbility yko ya kupata mkopo. Kuna course ni priorite na zingine sio priorite kwenye mkopo. Mdogo wngu aliomba nursing na kapata 100%
 
Back
Top Bottom