Tapeli la Iringa limekuja haribu biashara za mitandaoni

Jayll7

Senior Member
May 20, 2014
170
21
Hello guys,

Tafadhari kuweni makini Sana, kuna jamaa hua ana post bidhaa za Electronics kama Laptops na Mobile phone's za aina tofauti tofauti na kutangaza kuziuza kwa bei chee.

Anasema yupo hua anapokea mzgo kutoka kwa Shemeji yake ambae yuko Iringa ndio maana anauza kwa bei chee hzo bidhaa.

Point ya mcngi ni kwangu huyo jamaa ni mwizi mzuri2 yani hata kukaba anakaba coz yuko na kundi lake.

Yaani ukikubali kufanya nae bzness bas ujue umeliwa.

Namba zake hizi hapa.. 07885***86.
 
***** zake....ngoja nifanye nae biashara afu aone watu walivyo na hasira na hela zao
 
Ndio wakuu...nilitaka kufanya nae biashara eti aniuzie laptop probook air.. eti 350k.. niliwasiliana nae anasema yeye ni asikari... kwa kuwa me sikuwa iringa nilitaka nimtume mtu aende aangalie mzigo huo lakini akawa anamchenga.. baadae akaniambia nimtumie 50% anitumie mzigo.. nikajua taperi huyu... yuko njombe mjini anadai..
 
Chupu chupu niingie kwenye huo mtego....jamaa anasema yupo mjimwema njombe....mimi niko Dar nikampigia anko wangu aende alipo wamalizane jamaa anakimbia kimbia....
 
Yani kupatana kila kukicha matapeli wanaongezeka......kuna huyu dogo mwingine yupo kupatana anajiita John Swedy au Raheem
 
Watoto wa mama wanapenda kula kiulaini bila jasho....mwisho wanaliwa wao vijambio kiulaini bila ya jasho......pambaf zao....yaani mwanaume baada ya kula kwa jasho unawaza kumtapeli mwenzio.....ndio maana sisi huwa tunayatia moto mavibaka maana yanatudisha sana uchumi nyuma....
 
Huyu jamaa alitaka kuniliza gari, niliweka kupatana kuwa nauza. Akaja na gia kwamba amelizika nimpelekee gari njombe. Nikamwambia aje kwangu mkoa mwingine akaja lakini nikaw sielewi maelezo yake kuhusu malipo. Nikamwambia basi tangulia njombe ili kesho kutwa nikuletee gari njombe. Hii ni baada ya kuona ni tapeli.

Tuwe makini na kupatana, kuna matapeli wengi sana kuliko unavofikilia
 
Kuna jamaa kaniliza laptop yangu ila nikamtafuta kimya kimya, nimepata picha zake, na kontakti zake zote nasubir kesho ni confirm mambo fulani Kisha nitamuanika kwa vyombo vya habari hakika hatonisahau maana nimeshanza naye Leo hii naona kafuta kila kitu mpaka instgram wakati mi nishapita na kukusanya yote huko. Afu ni katoto ka mama tu kanatafuta Johanan ya raia hivihivi
 
Chupu chupu niingie kwenye huo mtego....jamaa anasema yupo mjimwema njombe....mimi niko Dar nikampigia anko wangu aende alipo wamalizane jamaa anakimbia kimbia....
Hahaa haa ni kawaida ya Tapeli kuishi hivyo anafikiri labda ni yule aliyemzulumu anataka kumrudi.
 
Angalia utapeli wao ulivyo wa kijinga

once we confirm your payment for i pcs,i will give you your dhl tracking number for your 10pcs of your package and by 6pm you have your package delivery to you,once you have your package delivery to you by 6pm by dhl,you check it and once you are okay you balance our delivery man the 9cs balance
 
Huyu jamaa alitaka kuniliza gari, niliweka kupatana kuwa nauza. Akaja na gia kwamba amelizika nimpelekee gari njombe. Nikamwambia aje kwangu mkoa mwingine akaja lakini nikaw sielewi maelezo yake kuhusu malipo. Nikamwambia basi tangulia njombe ili kesho kutwa nikuletee gari njombe. Hii ni baada ya kuona ni tapeli.

Tuwe makini na kupatana, kuna matapeli wengi sana kuliko unavofikilia
 
Yaani ni wapuuzi mpaka basi wakiweza kukuibia umetaka mwenyewe
[2/7, 10:46]me: Suppose I want to buy like 5pcs note 5, 5 PCs IPhone 6,what will be the discount
[2/7, 10:53] Tapeli Wa Simu: for the 5pcs of note 5,we wil give you for 750,000tsh each
[2/7, 10:53] Tapeli Wa Simu: and for the 5pcs of iphone 6 too,you make 650,ootsh each
[2/7, 10:53] Tapeli Wa Simu: 650,000tsh each
[2/7, 10:54] Tapeli Wa Simu: and we make delivery to your delivery address via dhl
[2/7, 10:54] Tapeli Wa Simu: you only make payment for 1
[2/7, 10:54] Tapeli Wa Simu: and you get your package by 6pm today and once you get them all you balance our delivery man for the remaining 9pcs
[2/7, 10:55] Tapeli Wa Simu: once we confirm your payment for ipcs now,i will give you your dshl tracking number
[2/7, 10:55] Tapeli Wa Simu: and by 6pm today you have your package delivery to you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom