chamsingi ni kumuomba mungu ili mambo yawe mazur
Itabidi wakavunje zile fixed diposit walizokuwa wanasubiria interest
jaman ni bahati ilioje? kweli tumshukuru Mungu kwa kutupatia kiongozi mchapa kazi na tumshukuru pia kwa uchaguzi kufanyika vyema. sasa lililo mbele yetu ni mikopo kwa sisi wanavyuo tunaoanza masomo yetu. Mh JPM jana alitoa kauli kwa kweli iulinifurahisha sana na sasa ni kumwomba Mungu uzima niwe mnufaika na pia kumuombea mema Rais wetu awe na hekima. hakika ni mchapa kazi i appreciate that. and the next election i promise him vote lazima kwa mchango aliouonyesha alfajiri na mapema. hakika sisi totoz za kipato cha kawaida tungelamba chini kwa hali halisi ya maisha but tamko la Mr president linanipa faraja pia na wengine pia. pia wana wa DARUSO pamoja sana kwa support yenu mnayoionyesha tuko pamoja.
wadogo zetu mnaoanza shule mwakani 2016 mambo yamenoga kazi kwenu kutia msuli tuu. i wish you the best.
never seen.
pia Mr president naomba uangalie mgogoro katika chuo cha st joseph Arusha campus na Kampala ile sekta ya afya ina matatizo sana please tatua hii migogoro na nina imami serikali yako itapendeza sana. nakuombea kwa Mungu kama ulivyosema Baba.
wew umekuja kumpongeza tu,rejea kichwa chako pale hilo tamko lipi mbona hujali highlight .jaman ni bahati ilioje? kweli tumshukuru Mungu kwa kutupatia kiongozi mchapa kazi na tumshukuru pia kwa uchaguzi kufanyika vyema. sasa lililo mbele yetu ni mikopo kwa sisi wanavyuo tunaoanza masomo yetu. Mh JPM jana alitoa kauli kwa kweli iulinifurahisha sana na sasa ni kumwomba Mungu uzima niwe mnufaika na pia kumuombea mema Rais wetu awe na hekima. hakika ni mchapa kazi i appreciate that. and the next election i promise him vote lazima kwa mchango aliouonyesha alfajiri na mapema. hakika sisi totoz za kipato cha kawaida tungelamba chini kwa hali halisi ya maisha but tamko la Mr president linanipa faraja pia na wengine pia. pia wana wa DARUSO pamoja sana kwa support yenu mnayoionyesha tuko pamoja.
wadogo zetu mnaoanza shule mwakani 2016 mambo yamenoga kazi kwenu kutia msuli tuu. i wish you the best.
never seen.
pia Mr president naomba uangalie mgogoro katika chuo cha st joseph Arusha campus na Kampala ile sekta ya afya ina matatizo sana please tatua hii migogoro na nina imami serikali yako itapendeza sana. nakuombea kwa Mungu kama ulivyosema Baba.