Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

Hawa ccm wabaya sana, kumbe hata akina halima mdee, tundu lisu, mbowe na wengine wametangazwa kimakosa!

Halima Mdee alitumia nguvu ya ziada ili kupata kura zilihamia Osterbay baada ya CCM kutaka kuiba na kumtangaza Sippi.
Tunduma Lowasa kapata 32219 lakini tume inasema elufu sita hiki Ni kituko cha mwaka.
 
kiongozi wa ukawa. duuuh hiki ni kihoja chs kufungia mwaka

hicho cheo kakipata lini maana imeshangaza kusikia anatoa tamko leo kwa niaba ya ukiwa...

jaman tumedhulumiwa kwenye ubunge viti maalum hata uongozi mkuu wa ukiwa hautangazwi uchaguzi tukachukua fomu???
 
Na wewe naye embu sepa na kukosa la kuandika.

Aliyeshindwa kuhutubia sera na kutochaguliwa na wananchi si yeye acha ndoto haogopwi mtu.
 
Huu uongo uongo huu cyber crime hutaweza kuikwepa.
Its just a matter of time.

uongo kwamba Lowasa hakushinda kwa million 10 au? Mbona mnajisahau sana?
 
uongo kwamba Lowasa hakushinda kwa million 10 au? Mbona mnajisahau sana?

Lowassa hana fomu hata moja ya matokeo jimboni (iliyosainiwa na wagombea ubunge na mawakala wao) ambayo inaonesha mzee lubuva kamchakachua.
Hana kabisa.

Ile hoja kuwa matokeo ya majimboni yalichakachuliwa na IT Masaki imekosa ushahidi kwano hao mnaoita IT masaki wasingeweza kuzipata na kuzichakachua fomu walizonazo wagombea na mawakala wa Ukawa. Hu uongo wa kuibiwa kura. kaongee ukiwa chumbani na mwenzi wako.

Lowassa anawafariji tu wafuasi vipofu ndo pole pole mtajua kawaacha kwenye gia kubwa. Angwkuwa anao ushahidi wa kuibiwa kura moto wake ungekuwa si kidogo.
 
Hivi Yale magari ya washwasha yanafanya kazi gani mpk sasa? Je yana uwezo wa kuzalisha dawa hospitalini?
 
Lowassa alishnda kwa kula nyng tu ni upuuzi wa ktba mbovu ya ccm ndio yenye kuwabeba kikubwa zaid ni kuanza kudai ktba mpya now
 
Kama wanamuogopa wasingemkata na kumtupilia mbali, bila kujali amehonga wangapi kushawishi jamii kuwa wanamuhitaji, baada ya uchaguzi wa 2010 serikali ilitambua kuwa Chadema ni moja ya chama korofi, na kuna baadhi ya wananchama wake wanakunwya viroba, wanavuta bangi, na ile ni kawaida ya kila uchaguzi serikali kujiandaa kulinda amani si Tanzania tu nchi nyingi za Kiafrica. CCM haigopi mtu bali ni chama kinachopenda amani na kitahakikisha kina linda amani hii kwa hali yoyote, kwahiyio acheni kujipa moyo, wacheni tujenge nchi.
 
Lowassa rais wa wa A.R.
I suggest ajengewe ikulu yake Arusha kwenye mifugo yake.
Samahan lakn.
 
Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!

Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?

Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa

Hawamwogopi,kama wanamwogopa mbona wamemchakachua kura zake?
 
Back
Top Bottom