Nauza Dangote Cement nipo Dar es salaam

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Habari ya muda huu watu wangu ,
Napenda kuwajulisha kuwa yoyete anayehitaji
Cement ya jumla naomba tuwasiliane
Nakuletea popote ulipo maeneo ya dar es salaam bei ni kutokana na umbali wa eneo
 
Je nikiamua kukufata Mimi mwenyewe hapo pia kutakua na bei yake auco, Me naona ni afadhari uweke wazi bei zako kabsa kuliko kutaka kusumbua watu.
 
kabla ya bei weka picha kwanza tuione kama ni yenyewe,mjini hapa.
 
Je nikiamua kukufata Mimi mwenyewe hapo pia kutakua na bei yake auco, Me naona ni afadhari uweke wazi bei zako kabsa kuliko kutaka kusumbua watu.
Mimi napenda nikuletee niambie wewe unauzia wapii nikutafute
Au ni PM alafu tufanye biashara
 
Habari ya muda huu watu wangu ,
Napenda kuwajulisha kuwa yoyete anayehitaji
Cement ya jumla naomba tuwasiliane
Nakuletea popote ulipo maeneo ya dar es salaam bei ni kutokana na umbali wa eneo
Hizo ni biashara za kishamba na zilizopotwa na wakati, wewe elezea unauza cement ya Dangote ipi?, 32.5 au 42.5 au zote, na pia eleza nei zake mpka site

Kuwa wazi kaka, wewe hauuzi uchawi kaka
 
Hutaki watu tujue address yako ya mahali unapofanyia biashara?....Hizi ni dalili za utapeli na ukwepaji kodi. Ukiendelea hivi tutakutumbua tu na utaenda kuozea jela.
 
Hizo ni biashara za kishamba na zilizopotwa na wakati, wewe elezea unauza cement ya Dangote ipi?, 32.5 au 42.5 au zote, na pia eleza nei zake mpka site

Kuwa wazi kaka, wewe hauuzi uchawi kaka
Mh! Hehehe uko usingizini
 
DANGOTE hatoi hatoi 42.5 mkuu
Kama ni cash ntakufanyia tsh 11300
contact 0715653196
 
Habari ya muda huu watu wangu ,
Napenda kuwajulisha kuwa yoyete anayehitaji
Cement ya jumla naomba tuwasiliane
Nakuletea popote ulipo maeneo ya dar es salaam bei ni kutokana na umbali wa eneo
Nikihitaji Kigamboni Mwikwambe utanifanyia bei gani?
Unauza kuanzia mifuko mingapi?
 
Gari moja lina cement 600 kama unauwezo wa kuchukua zote sawa au kama unaweza kuungana wawili watatu maeneo ya karibu nakuletea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom