Hello wadau. kwa Ambazo mim nimecheki zifuatazo zipogo kichwani mpaka kesho. Kama umeiskiaskia mojawapo na unajifkiria usisite.
1.Breaking bad
2.Game of thrones
3.Jumong
4.House of cards
5.Into the badlands
6.Shameless
7.13 reasons why
8.Peaky blinders
9.Taboo
10.Walking dead
11.Westworld...
Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiaina
Jay
Kwa mashabiki wa Chelsea,
Ijumaa tunatarajia kukutana pamoja pale TOMONI Victoria karibu na kona ya kwenda Mwananyamala kuanzia saa 12 jioni lengo ikiwa ni kufahamiana na kupanga pamoja kuhusu sherehe yetu tunataka iweje wakati huu ambao kuna juhudi mbalimbali zikiendelea kufanikisha hilo,kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.