Recent content by JAY BLACK

  1. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Wasanii au mtu yoyote mwenye channel iliyothibitishwa na Youtube anaweza kuingiza kipato kupitia matangazo yanayowekwa katika video mfano wa matangazo hayo ni matangazo ya video(Skippable Ads) ambayo huanza kuonekana kabla ya video husika kuanza kucheza pia kuna matangazo ya graphics(overlay)...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu laana (Curse)

    Kumkasirisha mzazi kunaweza kuwa na sababu nyingi ila zipo ambazo hazina msingi kabisa mfano kuna baadhi ya wazazi kama ikitokea ukaoa mwanamke nje ya kabila au dini yao watakasirika na kutishia kukupa laana pia wapo baadhi ya wazazi wanaoweza kutumia udhaifu wa watu kuamini sana laana kutumiza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa mzuri Africa ni baraka au laana?

    Wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrika hawana bahati katika maisha ya mapenzi hasa wale waliojaaliwa uzuri na mvuto moja ya sababu ni wao kushindwa kujua tofauti kati ya mwanaume anayemtaka na mwanaume anayempenda. Mungu kaijalia Africa wanawake wazuri na warembo kuliko eneo lolote lile duniani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuhost website

    Wadau nataka kuanzisha biashara itakayotoa huduma ya kudesign na kuhost websites nimeona godaddy na hostgator wana package ambazo zinakuwezesha kuhost unlimited websites ningependa kujua kama naweza kutumia package za aina hii kuhost websites za watu wengine kibiashara wadau wenye uzoefu na hii...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa za mkataba ndio kitu gani?

    Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
  6. J

    JamiiForums Tanzania Duka gani huuza Camera? Nahitaji Canon 5D III bila lens

    Mkuu ungetupa maelekezo ulipoipata kwa bei hiyo na utaratibu....
  7. J

    JamiiForums Tanzania Duka gani huuza Camera? Nahitaji Canon 5D III bila lens

    Pitia hapo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Duka gani huuza Camera? Nahitaji Canon 5D III bila lens

    Jumbo wana bei sana Canon 5D Mark iiii wanaanzia mil 6.......
  9. J

    JamiiForums Tanzania Camera: Canon v/s Nikon

    NATAKA KUNUNUA CANONO 5D MARK III ILA HIYO BEI YAKE SASA NILIPITA KWENYE DUKA MOJA (JUMBO CAMERA HOUSE) HAWA JAMAA NI KAMA WANAOVERPRICE VITU 5D MARK III INAANZIA MILION 6 DUUUH!!!! NA BAJETI YANGU HATA HAIFIKI ROBO YA HIYO BEI..........
  10. J

    JamiiForums Tanzania Utata katika kupata VIZA katika Ubalozi wa Marekani

    Jamaa hawana longo longo kama unastahili kupewa VISA unapewa ila tatizo WATZ tushazoea habari za kujuana ukitaka kufanya kitu mpaka uwe na connection,ukitaka kupata passport kiurahisi uwe na connection,kupata kazi uwe na connection kila kitu connection mwisho wa siku tukienda sehemu zisizohitaji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes acha ubaguzi

    Nasikia Dully na Joh wana beef mpaka kufikia hatua ya Dully kuchomoa kutokea kwenye video ya T.I.D aliyomshirikisha Joh na Dully tatizo ni nini.......
  12. J

    JamiiForums Tanzania Utata katika kupata VIZA katika Ubalozi wa Marekani

    Nilikuwa najaribu kufanya utafiti wa kujua utaratibu wa kuingia Marekani nikakutana na hii thread wapo wadau ambao wametoa majibu mazuri ya kuridhisha lakini kuna wadau wengine wamenisikitisha watu wanatoka out of point kabisa wengine mnaingiza na chuki zenu za kidini humu humu,wengine wanatoa...
Back
Top Bottom