Camera: Canon v/s Nikon

Kuna RED CAMERAS.... nimepitia machapisho kadhaa juu ya vitu hivi. Je, naweza pata uzoefu juu ya zana hizi. Kuna kampuni yenye kuzimiliki camera hizi?
 
..kwa DSLR Canon iko poa..hata katika Video ,uwe mzuri tu katika kuitumia...nunua na lens zake ufurahie
 
camera ni camera tu kaka kokote utakapokwenda utakuta sensor ndio deciding factor, galaxy K zoom, panasonic lumix, nokia 808 zina cameraq nzuri sababu zina sensor kubwa na megapixel chache.

angalia nokia 808 ina senosr kubwa ya megapixel 41 lakini output ya picha ni megapixel 5 tu. why nokia watumie sensor kubwa na kutoa picha ya megapixel 5? kama megapixel ni quality why wasitoe picha za megapixel 41? ndio hapo inapokuja sababu niliokupa juu, megapixel chache kwenye sensor kubwa inamaana pixel zitakuwa kubwa na mwanga utaingia mwingi, dynamic range itakuwa kubwa na pia quality ya picha/video itakuwa kubwa.

na ukitaka kujua megapixel sio issue chukua hio hio nokia 808 halafu disable pureview mode then iache ichukue picha za 41mp utaona picha zitatoka na noise na quality ambayo si nzuri kama ya 5mp
Sawa nimeliona hili kwa hii video camera hiii
ImageUploadedByJamiiForums1454027910.345154.jpg
just 2mp
 
camera ni camera tu kaka kokote utakapokwenda utakuta sensor ndio deciding factor, galaxy K zoom, panasonic lumix, nokia 808 zina cameraq nzuri sababu zina sensor kubwa na megapixel chache.

angalia nokia 808 ina senosr kubwa ya megapixel 41 lakini output ya picha ni megapixel 5 tu. why nokia watumie sensor kubwa na kutoa picha ya megapixel 5? kama megapixel ni quality why wasitoe picha za megapixel 41? ndio hapo inapokuja sababu niliokupa juu, megapixel chache kwenye sensor kubwa inamaana pixel zitakuwa kubwa na mwanga utaingia mwingi, dynamic range itakuwa kubwa na pia quality ya picha/video itakuwa kubwa.

na ukitaka kujua megapixel sio issue chukua hio hio nokia 808 halafu disable pureview mode then iache ichukue picha za 41mp utaona picha zitatoka na noise na quality ambayo si nzuri kama ya 5mp
so sensor inabidi ianzie ngapi kwenye camera standard?
 
so sensor inabidi ianzie ngapi kwenye camera standard?

full frame ndio sensor nzuri zaidi ambayo ni 36mm kwa 24mm cheki picha ya juu, ila bei zake ni maelfu ya dola kunzia dola 2000 kupanda juu. kama nilivyokuambia hapo juu na link niliyokuekea ukinunua dslr ndio best bet sababu automatic utapata lens nzuri, sensor nzuri nk

nikon d3300 ambayo nimekurecomend na wadau pia wamekushauri sensor yake ni 23.5 x 15.6 mm kwa lugha nyengine 366.60 mm² sio full frame sensor ila kwa bei yake ni best sensor utakayopata.
 
Kuna RED CAMERAS.... nimepitia machapisho kadhaa juu ya vitu hivi. Je, naweza pata uzoefu juu ya zana hizi. Kuna kampuni yenye kuzimiliki camera hizi?
Red ni Cinematic cameras
Hapa umezungumzia quality ya picture katika aspect ya low light..inajulikana kamera yenye sensor kubwa huwa inayoa picha vizuri katika low light na ndiomaana sikuhizi watu wanatumia sana dslr camera kupita camcorder sababu ya sensor size...meshimiwa chief mimi nafanya praticaly linganisha camera ya 12mp na 21mp dslr ambazo zina same aperture dinamic range na sensor size. Tumia kupigapicha katika mazingira ya nje yaani standard light au roomlight utaona ile yenye 21mp inachukua picha yenye quality yaani muonekano mzuri kabisa kuliko yenye 12mp
NA PIA USILINGANISHE KAMERA ZA SIMU NA DEDICATED CAMERA DSLR AU ANY PRO CAMERA...kamera za simu just intergrated camera ambazo ufanyajikazi wake sio mahiri kwa sababu ya cpu na gpu ya simu husika inakuwa na kazi nyingi sio camera pekee na ndo mana unakuta htc one x yenye intergrated camera 8mp inapitwa na camera ya samsung digital camera non dslr yenye 6mp.
TUKIZUNGUMZIA DEDICATED CAMERA!! Megapixel ni primari FACTOR YA QUALITY YA PICTURE .
 
nilinunua canon d660 pale phone1 mliman city dollar 570 iko vizur kwa kweli japo uweo wa kuvuta picha toka mbali ni mdogo.
 
NATAKA KUNUNUA CANONO 5D MARK III ILA HIYO BEI YAKE SASA NILIPITA KWENYE DUKA MOJA (JUMBO CAMERA HOUSE) HAWA JAMAA NI KAMA WANAOVERPRICE VITU 5D MARK III INAANZIA MILION 6 DUUUH!!!! NA BAJETI YANGU HATA HAIFIKI ROBO YA HIYO BEI..........
 
Japo unataka still camera tuu, dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali yenye kuhitaji picha na video, hivyo kama unajiweza nunua canon.

Hizo lensi ni muhimu kwa pro tuu, kwa mpiga picha wa matukio ya kawaida kama sherehe, huhitaji hayo ma lensi, ila raha ya kupiga picha ni kupiga picha nzuri, hivyo ukijua kutumia hizo lensi itakusaidia, mfano ukipiga picha ya pamoja kwa watu wengi lazima uwe na lensi ya wide angle, kupiga picha ya close up, ili uone hadi nywe moja moja au kipele, lazima utumie zoom, au unaweza kukaa mbali na kupata picha nzuri.

Ili kuwa pro kuna njia mbili kuu.
1. Kwenda shule hata ya miezi 3.
2. Kumiliki kamera na kuelekezwa na wazoefu, hivyo kujifunza kwa practice!.

Pasco
Nimepata canon 600D yenye lense ya 18-55
1472290894561.jpg
je naweza piga picha za aina hii, maana ndiyo shauku yangu kubwa
tafuta entry level DSLR camera, kwakuwa budget yako ni 1.5 search online camera za around dola 400 mpaka 500 ndio huku zitakuwa around bei hio.
cheki hii link itakusaidia Best Cameras Under $500 in 2016 | Switchback Travel

ukiingia hapo utaona jamaa anakazania sana kuelezea vitu kama sensor na lens badala ya megapixel hivyo vitu vina maana hizi

1. sensor - kitu muhimu zaidi kwenye camera jinsi inavyokuwa kubwa ndio pixel zitakuwa kubwa ndio jinsi mwanga utaingia mwingi na ndio jinsi picha zitakavyotoka vizuri picha. ila DSLR karibia zote zina sensor kubwa. sensor inapimwa kwa SI unit za urefu mfano inaweza kuwa 350 milimetre square

2. aperture, exposure na iso- jinsi camera itakavyocontrol mwanga na speed ya uchukuaji picha visome zaidi hapa Camera Exposure: Aperture, ISO & Shutter Speed
hii inapimwa kwa f na ikiwa ndogo ndio aoerture ni kubwa zaidi

3. lens- mambo ya kuzoom, macro shot, nk yapo hapa mfano unataka kupiga picha ya nyuki akiwa juu ya ua itabidi uwe na lens nzuri

kumbuka tafuta DSLR usije ukauziwa point and shoot camera, ukiwa na DSLR then mambo mengi mazuri automatic yatakuwepo.
 
Nauza Cannone 1000 D kwa Tsh 600,000 ipo Arusha hairekodi nimepata 1100 D inayorekodi... hiyo nayo iuza ipo katika hali Nzuri maana sijatumia muda mrefu..,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom