Duka gani huuza Camera? Nahitaji Canon 5D III bila lens

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,897
8,350
Wadau mbali na maduka haya mawili yanayouza camera Al Muntazir la Kisutu na Jumbo la Benjamini Mkapa Tower posta ni wapi ambapo naweza kupata camera mpya bila lensi aina ya Canon 5D MIII na kama unajua bei yake kwa Tsh au USD$
 
Nenda k/koo mtaa wa Congo kama unaelekea mnazi mmoja ulizia kwa mhindi, bei inarange 2mil - 3mil with lens
 
Wadau mbali na maduka haya mawili yanayouza camera Al Muntazir la Kisutu na Jumbo la Benjamini Mkapa Tower posta ni wapi ambapo naweza kupata camera mpya bila lensi aina ya Canon 5D MIII na kama unajua bei yake kwa Tsh au USD$
4.5m tsh ni pm
 
4.5m tsh ni pm
Lo bahati mbaya nimeshanunua tena Tzs 5,014,000 body only ,je na lens unakuwa nazo?kama Canon 50mm F 1.2,100 mm macro,au lens Canon mount aina yoyote ya fisheye lakini iwe ni kwa ajiliya Full Frame,roho inaniuma ningesave hiyo hela kwa ajili ya lens
 
Jumbo wana bei sana Canon 5D Mark iiii wanaanzia mil 6.......
Nilipita hapo wao bei ipo juu sana wanauza body only USD 3000,nilijaribu kueleza kuwa bei ya kawaida ni kama usd 2400 ,hatukukubaliana na nimepata mpya kwenye box kwa USD 2300
 
Jumbo niyetu Mkuu.
Kama ni yenu ushauri wa bure ni kuwa punguzeni bei,duka lenu ni duka bora kabisa lakini bei ziko juu sana,jaribuni kufikiria hizo bei.Lakini bado tupo pamoja tutakuja .
 
Lo bahati mbaya nimeshanunua tena Tzs 5,014,000 body only ,je na lens unakuwa nazo?kama Canon 50mm F 1.2,100 mm macro,au lens Canon mount aina yoyote ya fisheye lakini iwe ni kwa ajiliya Full Frame,roho inaniuma ningesave hiyo hela kwa ajili ya lens
Zipo tu,ni pm tuongee vizuri
 
Back
Top Bottom