Recent content by Jawason jawa

  1. J

    JamiiForums Tanzania JK: Hatutaki kuingiliwa mgogoro na Malawi

    Hilo nalo nenooo....!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Pepo la ubaguzi linamsumbua huyo.Akaombewe.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

    Huyo padre mzembe kweli!Hv haoni kama ccm inafaidika na mgawanyiko wa wananch kutokana na dini zao??Wangapi wamebwatuka juu ya hilo na bado serikali imekaa kimya,wanasubiri machafuko yatokee waje kutembea kujionee vioja.NB;Aingie siasani mzimamzima.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wanao mwandama Zitto kwa sababu ana nia ya kuwania urais ni wabakaji wa democrasia

    Zitto achana za vibaraka wa matumbo ya mabosi cdm,watatxmia kila njia ikiwemo kueneza propaganda humu jf,kelele za mbu haziwez toboa chandarua.Na rais hateuliwi na jf,we waache waendelee kuvimbishana mabichwa humu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa awashukuru waliomchagua kuwa Rais wa Tanzania.

    Ukiondoa nyerere waliobaki wamechukua vyao mapemaaa...!Halafu saa hz wanajikosha kosha bila hata lepe la aibu.Loh!Mafisadi wana roho ngumuuu.!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mhe John Mnyika (Mb) Ubungo, Gombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA uchaguzi ujao

    Cdm ni taasisi ya watu wachache au taasisi ya umma.??Muda utatoa majibu tu,propaganda na porojo za humu JF haziwez toa majibu.we should have diversity thinkin'.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    Dah!Kawaida ya wana cdm wengi huongozwa na hasira za mkizi.Na mvuvi( ben saa nane) amewachota wengiii..!!Zitto sio mchumia tumbo kama slaa,anasimamia anachokisema(sichukui posho),anatumia nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu kama viongozi wengine.Fikiri hapo.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Should CHADEMA Fire Zitto?

    Uongoz wa cdm unajua mgogoro uliopo ila umekaa kimya kumuacha ben saa mbovu atimize jukumu lake.Zitto nia yako ya kugombea urais,hawata kuacha ndo inazua yote haya, watakung'ang'ania mpaka utoke cdm.Kaza moyo utayashinda haya majaribu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

    Hawa jamaa wote ni wanafki na wote wanaendelea kutumika kuimarisha kambi zao chamani,nadhani n utoto uduchu wao ktk siasa chafu.Nendeni kwa magamba mjifunze siasa chafu zinavyochezwa na jinsi ya kuvumiliana kwny mchezo. Nadhani tatizo hapa n URAIS 2015.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Udom udom udom - chuo cha sanaa, lugha na sayanzi za jamii

    Mtoa mada! cdhani kama unaweza thibitisha hayo usemayo!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania List of prestige universities in tanzania.

    . Udom c Wanajiuza pale mabibo hostel!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif awataka wawakilishi UN kuitetea Tanzania

    Nafkiri mlitaka atuulie miskitini kama alivyokuwa mkapa ndo roho zenu zingefurahi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sasa ni wakati wa kuanzisha shule za michezo

    Hana jipya mnafki tu,hayo mawazo yalishatolewa longtime kitambo tu.Atumie pesa alizoficha uswis kuanzisha academy yake, hapo atakuwa amefanya la mbolea kiduuuchu!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Kikwete JIJINI ARUSHA TENA; AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI

    Rais ni mwakilishi wa wote na sio waliomchagua pekee.Kinachohitajika ni kuvumiliana tu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA kata ya Kivule abwaga manyanga

    Siasa ana sura tofautiii!!!Anavyoigiza akiwa jukwaani,ukumbini,nje ya dola na akiwa ameshika dola n vtu tofauti kabbisa!!Nia yake anaijua yeye na mungu wake.
Back
Top Bottom