Mwenyekiti CHADEMA kata ya Kivule abwaga manyanga

Siasa ana sura tofautiii!!!Anavyoigiza akiwa jukwaani,ukumbini,nje ya dola na akiwa ameshika dola n vtu tofauti kabbisa!!Nia yake anaijua yeye na mungu wake.
 
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.o
Namna hii tutafika kweli?

Ni Bora ukasafisha kidonda kabla nesi ajakusafisha.amechukua uhamuzi wa busara.
 
Ameonyesha mfano kwa magamba kwamba uanapokwapua hela za wananchi lazima ustep down atherwise utapigwa chini na nimefurahi kusikia kuwa atarudisha.
 
Back
Top Bottom