Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

Hawa jamaa wote wanaotajana tajana dawa yao ni kuwafukuzia mbali wote tu, hakuna cha kuwaita kwenye vikao wala kutafuta ushahidi, waende tu wakaanzishe chama chao.
 
Juliana! juliana juliana! Labda Mungu hayupo. Ila kama yupo, anaona ukweli.
 
Mimi sijaona yeyote wa maana kwenye mgogoro huu, hamna cha saa8 wala saa9. Watu makini hamuwezi kuja kujidharirisha mbele ya jamii wakati haya mambo yanazungumzika faragha, kwenye maelezo yao wamesema wameshawahi kukutana mara kadhaa kutekeleza azma yao yakutengeneza uasi ndani ya chama, sasa kwanini wasilizungumze hili chini ya usuluhishi wa wazee wa chama kama Prof Baregu au Prof Safari?

Kwangu mimi wote ni rubbish takataka tena zile takataka ngumu. Nimewadharau sana wote kuanzia BAVICHA yenyewe mpaka hawa wakina saa 8, masalia na upuuzi wote huo.
 
Unapozungumzia taasisi, maana yake ni kwamba unagusa pia fursa za ajira,na ajira unapoitafuta kwa maana ya nafasi ya kuongoza kwa njia za mkato,kuchafuana nk.,lazima kuharibu ama kuonyesha taswira mbovu ya watangulizi!lakini kuingia kimigogoro hutia shaka
 
Ben ametumiwa na kundi la Slaa kutafuta Ushahidi wa kumfukuza ZITTO Chamani. So akaanzisha movement nyingine ili walengwa wajiunge nae na kuwa-record. Pigia mstari maneno yangu, ushahidi wa kupikwa wa Ben Saa Nane utatumika kumuondoa Zitto.Zitto ana bahati, by chance or design hakuwahi kukutana na Ben ana kwa ana, so ushahidi ni circumstantial tu sio Hard Evidence.!Conclusion. Zitto hatakiwi ndani ya CDM, anatafutiwa justifications za kufukuzwa!
 
Hivi, Juliana na J wa Slaa salama kweli? Kwanini Dr. ghafla amchukie Juliana kiasi hicho? Hamna shinikizo la First lady hapa?
 
Hawa jamaa wote ni wanafki na wote wanaendelea kutumika kuimarisha kambi zao chamani,nadhani n utoto uduchu wao ktk siasa chafu.Nendeni kwa magamba mjifunze siasa chafu zinavyochezwa na jinsi ya kuvumiliana kwny mchezo.
Nadhani tatizo hapa n URAIS 2015.
 
Juliana shonza na zitto
kabwe ni viongozi wandamizi ndanni ya chadema.Mnashiriki kukihujumu
chama? kweli mnashiriki kuharibu matumaini ya watanzania? Mungu ndo
mwenye kulaani,mi naomba awalaani!

mvunja nchi ni mwananchi
 
naaaaaamini sasa Ben si akili yake kuna REMOTE somewhere nadhani KASKAZINI.
FAFANUA REMOTE YA KASIKAZINI! Otherwise na wewe ni mkabili wa MAGHARIBI! Hii haina maana kama pale tunapojidhania tunafafanua jambo kumbe tunaendeleza kiza!
 
wewe ndio benn mwenyewe na sasa umekuja kujifagilia kwa Id nyingine,hauna umakin wowote.

ndio akili yako inavyokutuma lakini hongera pia kwa kujaribu kuotea, na wewe ndio MCHANGE, SHONZA, MWAMPAMBA, NYAKARUNGU, KAFULILA, FESTO au Mkuu wa msafara mwenye ZITTO???
 
Siasa za vyama vingi ni za ushindani. Je mmeshafikiria kwamba wote hawa wanaweza kuwa katika mpango mahsusi kuwachanganya wasjindani. Ndiyo maana ni vyema CHADEMA wakatafakari kabla ya kuchukua maamuzi ili yasije kuwapa mtafaruku mkubwa zaidi. Bahati mbaya mshindani wao mkuu ana mtaji mkubwa vikiwemo vyombo ya dola. Ninacoweza kusema tu ni kuwa CHADEMA walijisahau (pengine ni kulewa na uungwaji mkono walioupata baada ya uchaguzi)kuunda mfumo ambao ungesaidia kutatua matatizo Kama haya na hasa kuyatambua mapema.
 
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;

1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa nane anaonekana kupewa ktk vikao mbalimbali alivyovitaja inaonyesha huyu jamaa anauwezo mkubwa wa kueka mikakati na utekelezaji wake, hata wenzake wamekiri hili katika majibu yao dhidi ya hoja zake na hivyo kanuni ya kwanza inaeza kua hii minyukano yoote ndio utekelezaji wa maazimio ya PM7 lengo kuu likiwa kuangamiza CHADEMA ndo mana anatajwa mtu kama Mwigulu, Nape nk.

Hii inashawishi ukiangalia kwann hawa woote waamue kufanyia minyukano yao hadharan badala ya kwe hvyo vkao huku wakijidai kua ushahidi wataweka wazi kwe vikao vya chama. Na hakuna hata mmoja, hata Zitto anaeonyesha dalili ya kua na huruma na chama. Ni kama lengo la hawa wote ni moja nalo ni kukibomboa chama. Wote wanaongea kama hakuna anaetaka kubaki chaman.

2;kwamba kweli ni minyukano na imetokea kwa bahat mbaya tu ikafikia hapa kama inavyoonekana moja kwa moja katika posts zao,

3;ukiacha Ben Saanane hawa wengine wote hawajui kwann wamejikuta humo, Ben Saanane kweli ni TISS kama walivyosuggest some members na amepanga mikakat yake kwa umakini na vijana wasio reason wotee wamejikuta kwe this mess na Ben akiona pamepoa anakuja kutupia kuni na kutaja mwingine ili mjadala uendelee.

All in all, kama Mtanzania, hiki ndio chama pekee kinachonipa faraja kuona ndio kwa kiasi kikubwa kinachowapa head ache mafisad. Hivyo kuliko sasa wajiachie, nitaendelea kukiunga mkono pamoja na upumbavu wao hivyo hivyo mradi tu kama wataendelea kuwanyima usingiza mafisad.. Mshirika ni mshirika tu ili mradi mnashirikiana kumpiga adui mmoja.

Wana Jf nisaidieni, ukiacha Zitto, Dr Kitila na Shonza. Hao vijana wengine WANACHACHAFYANA HAPA JF wana status gani ndani ya CDM? Je ni viongozi?
 
hivi ben,mchange,mwampamba,sanga,mamuya na nyakarungu wana vyeo gani chadema?haosi wanachama wa kawaida kama mimi?kwa nini malumbano yao yanataka kuiteka jf?mimi nadhani kama kuna watu wa kulitolea ufafanuzi jambo hili ni zitto na juliana kwa kuwa wao ni viongozi ndani ya chama hao wengine ni wapiga debe kama wapiga debe wengine huko mtaani.
 
FAFANUA REMOTE YA KASIKAZINI! Otherwise na wewe ni mkabili wa MAGHARIBI! Hii haina maana kama pale tunapojidhania tunafafanua jambo kumbe tunaendeleza kiza!
pole saana kwa kukuacha kizani,wakati unahitaji mwanga. katika mnyukano huu, naona dhahiri ZZk, anahusishwa kwa kuwa alitamka anataka kugombea nafasi ya urais, tendo ambalo limeonekana na hao maadui zake kisiasa kama vile, anataka kumpinga mtu wao ambaye ni SLAA, naaandika hivi, kwa kuwa nimeandika uzi ,mara nyingi nikimsifu ZZK kwa misimamo yake ya Utaifa mbele. kitendo ambacho nilipata mashambulizi mengi . toka kwa huyo ambaye amejifafanua kuwa ni adui wa ZZK. kwangu mimi naamini kuwa kijana huyu anatumika na nguvu inayotumika kummaliza ni ya wafuasi wa mgombea wao .ni mtu toka Kaskazini. wadaiwa wengine wa mpango huo wamemtaja. juu yanguu mimi si mkabila wala mdini ni Mtanzania kwanza. sishabikiiii wala siungi mkono udini wala ukabila , mimi ni Mkristo nampenda ZZK kwa Uzalendo wake, mimi ni MNyamwezi mzaliwa wa Dar es salaaam .
 
Ben ametumiwa na kundi la Slaa kutafuta Ushahidi wa kumfukuza ZITTO Chamani. So akaanzisha movement nyingine ili walengwa wajiunge nae na kuwa-record. Pigia mstari maneno yangu, ushahidi wa kupikwa wa Ben Saa Nane utatumika kumuondoa Zitto.Zitto ana bahati, by chance or design hakuwahi kukutana na Ben ana kwa ana, so ushahidi ni circumstantial tu sio Hard Evidence.!Conclusion. Zitto hatakiwi ndani ya CDM, anatafutiwa justifications za kufukuzwa!

Je unadhan Zitto ni mwana CDM mzalendo au yuko kwajili ya "KAZI MAALUM" ndio na Slaa akamueka Saa8 kwa "KAZI MAALUM"?
 
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;

1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa nane anaonekana kupewa ktk vikao mbalimbali alivyovitaja inaonyesha huyu jamaa anauwezo mkubwa wa kueka mikakati na utekelezaji wake, hata wenzake wamekiri hili katika majibu yao dhidi ya hoja zake na hivyo kanuni ya kwanza inaeza kua hii minyukano yoote ndio utekelezaji wa maazimio ya PM7 lengo kuu likiwa kuangamiza CHADEMA ndo mana anatajwa mtu kama Mwigulu, Nape nk.

Hii inashawishi ukiangalia kwann hawa woote waamue kufanyia minyukano yao hadharan badala ya kwe hvyo vkao huku wakijidai kua ushahidi wataweka wazi kwe vikao vya chama. Na hakuna hata mmoja, hata Zitto anaeonyesha dalili ya kua na huruma na chama. Ni kama lengo la hawa wote ni moja nalo ni kukibomboa chama. Wote wanaongea kama hakuna anaetaka kubaki chaman.

2;kwamba kweli ni minyukano na imetokea kwa bahat mbaya tu ikafikia hapa kama inavyoonekana moja kwa moja katika posts zao,

3;ukiacha Ben Saanane hawa wengine wote hawajui kwann wamejikuta humo, Ben Saanane kweli ni TISS kama walivyosuggest some members na amepanga mikakat yake kwa umakini na vijana wasio reason wotee wamejikuta kwe this mess na Ben akiona pamepoa anakuja kutupia kuni na kutaja mwingine ili mjadala uendelee.

All in all, kama Mtanzania, hiki ndio chama pekee kinachonipa faraja kuona ndio kwa kiasi kikubwa kinachowapa head ache mafisad. Hivyo kuliko sasa wajiachie, nitaendelea kukiunga mkono pamoja na upumbavu wao hivyo hivyo mradi tu kama wataendelea kuwanyima usingiza mafisad.. Mshirika ni mshirika tu ili mradi mnashirikiana kumpiga adui mmoja.
http://www.drexel.edu/oca/l/tipsheets/Group_Development.pdf, Angalia hatua waliyofikia, ni kawaida kabisa, chama kitaimarika
 
Wana Jf nisaidieni, ukiacha Zitto, Dr Kitila na Shonza. Hao vijana wengine WANACHACHAFYANA HAPA JF wana status gani ndani ya CDM? Je ni viongozi?

Hawa wengine kwa kutumika kwao ndio wamejikuta na status ya kuweza kushawish JF ikafuatilia posts zao. Ni wachumia matumbo naeza sema. Kwamm hakuna hata mmoja ambae anaaminika hapa. Na ukweli Zitto bado hakuna ushahidi unaomtia hatian kwa usaliti kama tutafuata kanuni za kisheria,evidence inayofanya watu wa conclude kua yumo ni 1; hii ya saa nane na Mamuya watu ambao mm naona hawaaminiki ukiangalia historia walizotoa wenyewe kwenye ushiriki wao wa kukimegua chama. 2; ni majibu ya kujichanganya ya Juliana na wenzake wakat wakijaribu kumtetea ZZK na kutupa lawama kwa DR. Hizi ni kauli influenced by retaliation and they er unreliable., 3;kauli ya Zitto mwenyewe. Sasa ukiangalia historia ya Zitto kwa umakini utakundua kua at tymes anakuaga na jazba na hii inaeza pelekea majibu yasiyo na busara sana wakat mwingine angalia vikao vya bunge alivyotolewa nje,kutoka kwake kulifuatana na kauli za jazba..
Kisheria tunasema,mtu hakumiwi kwa weakness ya defense yake bali kwa strength ya evidence which accuses him/her. Hakuna best evidence hapa ya kuconclude kua ZZK ni mhujumu kwa mujibu wa sheria but kiuraia unaeza reason ukaona ni vinginevyo ukijumuisha na kauli kauli zake kumhusu JK kama ile post yake ya twiter akat wa ufunguz wa project ya malagalas nk.,pia na urafiki wake na baadhi ya maadui wakubwa wa upinzani km kina Riz. Ni kama vile unapoonza kiongoz kala kabisa hela za mrad bt ukitafuta ushahid wa moja kwa moja hakuna.
2015 bado kuna muda wa ku repair mapema. Ingekua balaa kama haya yangetokea ndio tunaelekea uchaguz. Tukumbuke kwe siasa siku kumi ni nyingi sana kubadili rep ya chama mbele ya jamii so wenye nia njema na CDM msivunjike moyo muda bado upo eken mambo sawa.
 
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;

1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa nane anaonekana kupewa ktk vikao mbalimbali alivyovitaja inaonyesha huyu jamaa anauwezo mkubwa wa kueka mikakati na utekelezaji wake, hata wenzake wamekiri hili katika majibu yao dhidi ya hoja zake na hivyo kanuni ya kwanza inaeza kua hii minyukano yoote ndio utekelezaji wa maazimio ya PM7 lengo kuu likiwa kuangamiza CHADEMA ndo mana anatajwa mtu kama Mwigulu, Nape nk.

Hii inashawishi ukiangalia kwann hawa woote waamue kufanyia minyukano yao hadharan badala ya kwe hvyo vkao huku wakijidai kua ushahidi wataweka wazi kwe vikao vya chama. Na hakuna hata mmoja, hata Zitto anaeonyesha dalili ya kua na huruma na chama. Ni kama lengo la hawa wote ni moja nalo ni kukibomboa chama. Wote wanaongea kama hakuna anaetaka kubaki chaman.

2;kwamba kweli ni minyukano na imetokea kwa bahat mbaya tu ikafikia hapa kama inavyoonekana moja kwa moja katika posts zao,

3;ukiacha Ben Saanane hawa wengine wote hawajui kwann wamejikuta humo, Ben Saanane kweli ni TISS kama walivyosuggest some members na amepanga mikakat yake kwa umakini na vijana wasio reason wotee wamejikuta kwe this mess na Ben akiona pamepoa anakuja kutupia kuni na kutaja mwingine ili mjadala uendelee.

All in all, kama Mtanzania, hiki ndio chama pekee kinachonipa faraja kuona ndio kwa kiasi kikubwa kinachowapa head ache mafisad. Hivyo kuliko sasa wajiachie, nitaendelea kukiunga mkono pamoja na upumbavu wao hivyo hivyo mradi tu kama wataendelea kuwanyima usingiza mafisad.. Mshirika ni mshirika tu ili mradi mnashirikiana kumpiga adui mmoja.

Mimi nakubaliana na nadharia ya pili.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom