Udom udom udom - chuo cha sanaa, lugha na sayanzi za jamii

May 7, 2012
21
0
Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.
 
ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,406

mh...we mtoa mada?? je unasoma hapo udom??? na tuaminije??? lakin kwa nini kila siku udom...mara ile biashara...mara kiko kisiasa.....mara elimu duni....sasa na wewe umekuja na lako??? mh, polen wajamen!!!
 
Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
0
Mbona sijaona hoja yako zaidi ya kutuhumu ilibd uchanganue wamefanya nini mpaka uwatuhumu kiasi hicho?au uliomba kazi hujakidhi vigezo unaanza majungu?
 
smallvile

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
493
250
weka ushahidi kwa maandishi au picha kwamba dean ako mzinzi, au hayo maneno yaweke kwenye record,
hivi kila kitu ni Udom tu,,, ila kale kamchezo naona kanaweza kuwa ka kweli, kama kutakua na ushahidi wa madean nao kujipatia riziki,, mh ila inatakiwa wawe na digree za hayo mambo
 
Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,679
1,500
Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.
kweli wewe ni msomi!!! hujui kujieleza, unabwabwaja maneno tuu, andika kitu na mtu asome aelewe huyu mtu kamaanisha nini, au unadhani kila mtu yupo udom?
ulichokiandika angeandika 4m nisinge shangaa loh umenidisapoint saana
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225

Poleni ila msitegemee msaada wowote manake kuna mtandao wa kulindana! Vumilia hayo ni ya kupita tu! hata staff wananyanyasika mno
 
senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
173
195
chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...kikula tusaidie jamani tunaangamia wanao.
acha kudhalilisha madean wetu wewe kaka unauhakika wa hicho ukisemacho tafadhali tupe evidence cio kuongea
 
COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,009
1,225
Kuna dean of students hapo udom ndugu yangu,hako kajamaa ni kafupifupi hivi,kazinzi kanakula vichwa hakuna mfano, Dhaifu angebadilisha japo uongozi hapo udom,la sivyo haya mambo hayataisha miaka nenda rudi
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,000
Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa wanafunzi umekithiri lol...KIKULA tusaidie jamani tunaangamia wanao.

Nadhani ungefikisha haya maoni yako kwa njia na lugha sahihi ingekuwa ni bora sana. Sikatai, inawezekana kuna tatizo hapo chuoni kwenu ila namna ulivyowakilisha hoja imeonyesha ni kama unataka kuwa-embarrass au kuwadhalilisha baadhi ya watu. Na nadhani ni wakati wa watanzania tuwe wazi na majasiri, kwa mfano umesema kuwa Ma-deans ni wazinzi na wahuni, Je, ni ma-deans wote au kwasababu ya tabia ya mmoja inaweza ikasemwa kuwa ni tabia ya ma-deans wote?
 
WOWOWO

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
590
500
Kuna dean of students hapo udom ndugu yangu,hako kajamaa ni kafupifupi hivi,kazinzi kanakula vichwa hakuna mfano, Dhaifu angebadilisha japo uongozi hapo udom,la sivyo haya mambo hayataisha miaka nenda rudi

Hapo kwenye RED You mean Dkt. Nyoni ambaye alikuwa Udsm? Nakumbuka taarifa kama hizi zilizagaa wakati akiwa mlimani.Yawezekana kukawa na harufu ya ukweli. Evidences ni muhimu kwenye hili.
 
Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
Ndugu, yote uliyosema ni sahihi 100%, ila lugha na mtiririko wa habari siyo fasaha

Na hayo uliyoyasema si kwenu tu bali UDOM nzima, yaani yapo College zote

Pole sana
 
May 7, 2012
21
0
mengineyo yanavumilika lakini hili la uzinzi!!! u...... jamani tuwaombee

Yunachokisema ni tabia ya wahadhiri kunyanyasa wanachuo...Dean akikutaka ukimkataa ikatokea umekosa mtihani kwasababu za maana anakataa kukupa special exams wakati ni haki yako. Walimu hawalipwi on time ndo maana wanakosa kufundisha kwa moyo ...udom ni mwendo wa extreme tuu.Kuna mdada anaitwa Aziza ananyanyasa wanafunzi kwa kuwaambia wanatembea uchi...anasahau yeye udsm alivaa vimini na hata alipoajiriwa alikuwa anavaa jeans...sasa anatunyanyasa hata kama mtu kavaa nguo njema ilihal si hijab unakamatwa na kuporwa simu lo....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom