mmmh huyu jamaaa hafaii hata chembe,,aliwai kuja kitaani kwetu alichokifanya alituwekea cd ya luckdube,,akakoleza na sarafina kisha watu 2kawa wapole akaanza kuhubiri na wote tulijikuta tunalia,,,,maaamaaaaa...siku hiyo ndo nlipokea uponyaji nkavaa gwanda mpaka leo,,,,LEMA HAFAI KAMA BDO...