Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza Lusinde mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza Lusinde mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JASOTA, Apr 9, 2012.

 1. J

  JASOTA Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom).
  my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini haitakua tija ya mimi kutekeleza adhma yangu.
  Baba yangu alikua hakimu mkazi na kwa wadhifa wake aliwahi kumuhukumu jamaa mmoja kifungo cha miaka 3 jela bila faini kwa kosa la kutoa matusi hadharani....nina uhakika sheria hii haijafutwa na bado inanguvu kama si kuboreshwa zaidi.
  Kumbe ndugu watanzania ninayofursa ya kikatiba kumshtaki bwana livingston lusinde mahakamani kwakosa la kutoa matusi hadharani endapo jamhuri haitamchukulia hatua za kisheria....hii adhma yangu nitaitekeleza ndani ya siku saba kama jamhuri itaendelea kukumbatia huu uhuni uliofanywa na kiongozi mkubwa kama huyu.sikuwai kuisoma ama kuisikua lakini leo nimefanya hivyo na nikapandwa na hasira
  pili,mimi kama mkatoliki nimefadhaishwa sana kwa bwana lusinde kudhalilisha kanisa langu kwa tafsiri kua wanakwaya wetu hupewa mimba na mapadre...kwa hili nimelia sana,,,sitanii...nimelia kwakua mama yangu alikua mwanakwaya na mimi ni mwanakwaya,,dada zangu watatu ni wanakwaya,,,kumbe watapewa mimba na mapadre???huu ni udhalilishaji wa imani yetu...kwa hili ninamuomba mr.lusinde atoe ushahidi wa wanakwaya kupewa mimba na mapadre zaidi amuhusishe dr.slaa na hilo tukio...akishindwa ndani ya siku tatu nitamburuza cortini,,kwani kesho nitaenda kuonana na mhashamu baba askofu wa jimbo kuu la mwanza.
  Mwisho nasisitiza kumshtaki mr.lusinde mahakamani kwakulidhalilisha taifa langu na kuvunja sheria za jamhuri...
  Shame on you lusinde
   
 2. I

  IkizuJF Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JASOTA, usifanye ajizi tupo pamoja nawewe
   
 3. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,334
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  ni pm ntachangia gharama
   
 4. MSATULAMBALI

  MSATULAMBALI Senior Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  tunakupa sapoti 100%
   
 5. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Litakuwa fundisho kwa wote.
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kwa ajili ya manufaa ya Taifa hili basi naimani jumanne utakuwa unaifungua kesi hiyo kama kutahitajika gharama rudi tena humu jamvini tujulishane binafs nitachangia usifanye ajizi kwani ajizi ni nyumba ya njaa
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Litakuwa jambo jema. Sijui kama CDM wamekwishatolea tamko matusi ya Lusinde.
   
 8. s

  sitakuwafisadi Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unachelewa my bro weka namba ya M.pesa tuanze kuchangia garama za kesi hio!..........Nobody can give you freedom.no body can give you equality or justice or any thing.If you are a man you take it.
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio tatizo la watanzania KUKURUPUKA, hawaangalii root-cause.
  kabla ya kumshitaki lusinde inakubidi uangalie historia yake ya kisiasa na watu alikojifunza siasa, kwa kuwa siku zote watu hupractise yale waliojifunza mahala fulani. Nikufahamishe tu ni kwamba LUSINDE kabla ya kuingia CCM alikuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CHADEMA na huko ndio alikojifunza mambo ya kisiasa.
   
 10. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu uko sahihi kabisa ila mi naona kama vile ukitoa siku 7 unamchelewesha sana ingependeza hii ukafungua kesho jumanne kwani hakuna hata mzunguko kwakuwa ushahidi uko wazi sana.
  hata huyo Hakimu pia nae atakuwa shahidi na hata ukitaka mashahidi 5,000,000 naamini utapata na wazo lingine nakuomba uwashirikishe na wahusika ili wakupe uzito zaidi
  1,Mh LEMA
  2,Mh MBOWE
  3,Mh DR SLAA
  mkuu watanzania wapenda haki watakuwa na wewe bega kwa bega.

  kila la kheri mkuu na MUNGU akutangulie ili usitishwe na binadam yeyote.
   
 11. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  527473_338043199578812_100001194034023_842982_270265414_n.jpg 527473_338043199578812_100001194034023_842982_270265414_n.jpg 527473_338043199578812_100001194034023_842982_270265414_n.jpg
   
 12. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  mi nina tagible evidence za matusi ya huyo Lusinde,nina sound na video ya hotuba hyo,mi ndo niliweka uzi ktk thread moja hapo juu,mkuu ntasupport moraly,materiality na hata pesa ikibidi ili fundisho.
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nafikiri ungeuliza chama chake CCM kama kimesha toa tamko.
   
 14. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yaani wee tume ya katiba, kwa umri huo bado hujaanza tu kutumia kichwa kabla ya kuandika ? Kwahiyo asishtakiwe kwa kuwa amejifunza matusi huko Chadema ama ?
   
 15. m

  mchungusana Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  Kweli au unatania? Kama kweli ukifungua tu kesi tujulishe tupe na namba yako ya t-pesa au m-pesa tuchangie nauli
   
 16. k

  kahaluaJr Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee kama utafanya hivyo mbona itakuwa safi sana,pia hata kama utaomba mchango watu tupo tutakupa sapoti kwa njia ya M pesa kaka fanya kweli na si masihara tupo na wewe,mie pia imeniuma sana ati Mapadri wanawapa wanakwaya mimba sasa kaka tunataka akadhibitishe ukweli huo na pia Mahakama imvue ubunge kwa yeye ndio mtunga sheria then ndio huyo huyo mtoa matusi ya waziwazi.Sasa mtu kama Livingstone Lusinde anajigamba vipi mbele wa wananchi wake anaowaongoza kama si uwendawazimu???Mkuu fanya kweli
   
 17. d

  dada jane JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 18. J

  Jqnakei Senior Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli i'll suport you.
   
 19. m

  mangwela Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hongera kwa kuwa na dhamira ya dhati ya kujaribu kurudisha maadili katika taifa letu kwani viongozi ndio wamekuwa watu wa mstari wa mbele kuvunja maadili katika taifa hili. Inanipa wasiwasi kama kweli wazee katika taifa hili wanania ya dhati katika harakati za kurejesha maadili ya viongozi hasa pale watu wenye umri mkubwa na nyadhifa za juu katika taifa hili wanapo support matusi, kejeli,vijembe vya ndugu Lusinde(nasita kumuita mh maana hana chembe yeyote ya uheshimiwa) kwa kusema kuwa alikuwa anajibu mapigo. Mzee Mukama busara zako ziko wapi kwenye hili, sitaki kuamini kile ulicho kisema kama kweli kinatoka moyoni na kwa mtu mwenye umri na heshima katika taifa hii. Siasa za vyama zisipoteze heshima yako na utu kwani katika maadili ya kiafrika UKUBWA DAWA
   
 20. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Usifanye masihara, kamshtaki iwe fundisho si kwa wanasiasa tu hata wananchi wanaopenda kutukana hadharani
   
Loading...