Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

Ahsante sana CHADEMA.Ahsante sana makamanda:mbowe,Slaa na timu yenu...Ahsante wana wa Arusha na Arumeru..Nyinyi ni mfano wa kuigwa hapa Tanzania..Maeneo mengine tujifunze ili 2015..magamba yaozee kwenye miili.Tuchukue nchi yetu na kuirejesha Mahali pake
 
aisee wewe critical sana nimeipenda ya ester bundala,kwamba alikuwa hajui kaenda kufanya nini aisee ww mkali,ndo maana uko CDM,aisee unafaa kuwa meneja kampeni wangu 2015,ili nimuondeo ngereja,jimbo la sengerema
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh





Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri


Akili uliyotumia kuchambua hapo = akili za magamba 200. Hongera sana nimesoma na nimecheka sana hasa majukumu ya Wisira a.k.a
 
hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya ccm na chadema katika kampeni arumeru, na kila mtu alikuwa na majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini ccm walishindwa na chadema walishinda..!

Hiki ndicho kikosi kazi cha ccm na majukumu yao!

1.mwigulu nchemba..kazi yake ilikuwa kuongoza kampeni na kuwadanganya wananchi

2.livingstone lusinde..kazi yake ilikuwa moja tu matutsi na propaganda

3.stephen ngonyani (prof.maji marefu)..,kazi yake ilikuwa moja tu kuroga na kufanya kazi ya uganga(uchawi) na ushirikina

4.christopher ole sendeka..,kazi yake ilikuwa kuendesha kampeni za kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge vincent kisa eti anatoka musoma

5.january makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura ccm kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia pikipiki (toyo)

6.kapteni komba..,kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.stephen wasira,.kazi yake ilikuwa moja tu..umbea

8.esther bundala,,.huyu alikuwa hajui kaenda arumeru kufanya nini..? Kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.ben mkapa..huyu mmmh.mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.mary nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh





sasa tucheki kikosi kazi cha chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.vincent nyerere..,huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.mchungaji msigwa..huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na fitna, na ushirikina (uchawi)

3.joseph mbilinyi ''sugu''-kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura cdm.,na kujua hali halisi za masela {vijana wa mtaani}

4.mchungaji natse-huyu pia kazi yake ilkuwa kupambana na mapepo na uchawi ukizingatia nguvu nyingi ya uchawi ilitumika..,na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.dk.slaa,zitto na mbowe- hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri
eeeh dogo unamabooooooo....nimecheke mbavu sina,,ila tumeyadundaaaaaaaa,,,,mie nko hapa mwamza tuliyadundaaaa na sisi...tuyapa vifuti,,,mangumi ya puani mpaka lisaba likazirai....cdm kuna maraaaaaaaaaaa.....mie leo stoki nje bado yanahasira hapa mwz
 
mimi namshauri nasari katika huo mfuko wa maendeleo ya jimo aandae mkakati wa sisi watz kuuchangia kwa saau serikali ccm ilisema jimo litaenda likizo na hawatashirikiana nao.
 
Naam, nami nakupa hongera nyingi. Pia nakushauri ujitahidi kuwaonesha wananchi tofauti kati ya ccm na cdm kwa kuwa mbunifu na mtu wa vitendo ili 2015 yaliyotokea Arumeru yatokee nchi nzima. In fact nisemalo kwako nasema kwa makamanda wetu wote yaani wabunge na madiwani wa cdm.
Hongera Nassari-kazi iliyopo ni kuwa mbunifu katika kuleta maendeleo
 
Nadhani hii analysis Nape anaweza kuitumia na kupata majibu moja kwa moja
 
Umenifurahisha hapo kwa maji marefu. Wao wameleta mganga/mchawi mmoja CDM wakamwaga watumishi wa Mungu wawili.
Kweli dawa ya moto ni maji.
I like this!! ha ha hahaa, mganga kwa wachungaji. Inapendeza sana. Tulianza na Mungu tumemaliza na Mungu.
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza wazee wa kishiri kwa kuonyesha yaliosemwa na CCM na msajili wa vyama ni uongo. Waliogopa Lema kwani wanajua akiwepo anajua mbinu walizotumia Arusha kuiba kura na kudhibiti wizi wa kura
 
Back
Top Bottom